Lucas mwashamba
Member
- Jul 30, 2025
- 97
- 324
Kiongozi kweli nashughulikia suala la verifyππ pumbavu
yule mwezio analilia badge ya jf na awe verified
hakuna maneno mazuri ya kuelezea zaidi ya kusema wewe NI MPUMBAVUNimebubujikwa na machozi ya furaha baada ya kuota ndoto nzuri na yenye matumaini kwa WATANGANYIKA baada ya kuota Lissu anatoka gerezani na kuwa raisi wa jamhuri ya muungano wa TANZANIA na Mhe. John heche anakuwa Waziri Mkuu.
Yaani ndugu zangu nchi hii itakuwa mfano wa kuigwa duniani kwa demokrasia na kuwa na katiba Bora na nchi yenye kufata katiba na sheria zaidi hata ya Korea tumuombee huyu shujaa wetu aendelee kuwa na afya njema na Mungu amlinde na kumpa afya iliyo kamili kwa akili ya kesho yetu iliyo Bora hakika ukuu wa Mungu umetufikia watanzania na hakuna mwanadamu anayeweza kizuia mpango wa Mungu.
Nchi hii ni tajiri wa rasilimali lakini zinagawiwa bure kwahiyo Lissu akiwa raisi atazilinda mali zetu vizuri kwa mikataba isiyokua na utata wa shaka kwa wananchi tumuombee raisi wetu aendelee kuimarika kiafya ili tukomboke watanzania kutoka katika mikono ya mafisadi hakika nitaendelea kububujikwa na machozi ya furaha mpaka Lissu atakapo tuachia katiba Bora zaidi duniani yenye demokrasia ya kweli na uhuru wa kweli iwe kuhoji au kukosoa ndugu zanguni.
Hakika kila mtu anapaswa kuamini kua Lissu katumwa na Mungu kuja kutuokoa kwahiyo tusifadhaike tunaenda kuwa huru muda so mrefu watanzania tutaishi kwa kichagua viongozi wetu tuwatakao na so kuchaguliwa na watakwao na chama Cha mafisadi.
Ni Mimi kijana wenu.
LUKAS MWASHAMBA
Hawa ni member wawili tofauti chief.akili yangu huwa inaniambia we ni punga.. najitahidi kufuta wazo hilo, ila alili inagoka inasema wewe ni PUNGAZEZE
Namba ya simu hujawekaπ€£π€£π€£π€£Nimebubujikwa na machozi ya furaha baada ya kuota ndoto nzuri na yenye matumaini kwa WATANGANYIKA baada ya kuota Lissu anatoka gerezani na kuwa raisi wa jamhuri ya muungano wa TANZANIA na Mhe. John heche anakuwa Waziri Mkuu.
Yaani ndugu zangu nchi hii itakuwa mfano wa kuigwa duniani kwa demokrasia na kuwa na katiba Bora na nchi yenye kufata katiba na sheria zaidi hata ya Korea tumuombee huyu shujaa wetu aendelee kuwa na afya njema na Mungu amlinde na kumpa afya iliyo kamili kwa akili ya kesho yetu iliyo Bora hakika ukuu wa Mungu umetufikia watanzania na hakuna mwanadamu anayeweza kizuia mpango wa Mungu.
Nchi hii ni tajiri wa rasilimali lakini zinagawiwa bure kwahiyo Lissu akiwa raisi atazilinda mali zetu vizuri kwa mikataba isiyokua na utata wa shaka kwa wananchi tumuombee raisi wetu aendelee kuimarika kiafya ili tukomboke watanzania kutoka katika mikono ya mafisadi hakika nitaendelea kububujikwa na machozi ya furaha mpaka Lissu atakapo tuachia katiba Bora zaidi duniani yenye demokrasia ya kweli na uhuru wa kweli iwe kuhoji au kukosoa ndugu zanguni.
Hakika kila mtu anapaswa kuamini kua Lissu katumwa na Mungu kuja kutuokoa kwahiyo tusifadhaike tunaenda kuwa huru muda so mrefu watanzania tutaishi kwa kichagua viongozi wetu tuwatakao na so kuchaguliwa na watakwao na chama Cha mafisadi.
Ni Mimi kijana wenu.
LUKAS MWASHAMBA
Safi kwa lipi,ingekuwa safi baada ya reforms za kweli.Katika mihimili.Nimebubujikwa na machozi ya furaha baada ya kuota ndoto nzuri na yenye matumaini kwa WATANGANYIKA baada ya kuota Lissu anatoka gerezani na kuwa raisi wa jamhuri ya muungano wa TANZANIA na Mhe. John heche anakuwa Waziri Mkuu.
Yaani ndugu zangu nchi hii itakuwa mfano wa kuigwa duniani kwa demokrasia na kuwa na katiba Bora na nchi yenye kufata katiba na sheria zaidi hata ya Korea tumuombee huyu shujaa wetu aendelee kuwa na afya njema na Mungu amlinde na kumpa afya iliyo kamili kwa akili ya kesho yetu iliyo Bora hakika ukuu wa Mungu umetufikia watanzania na hakuna mwanadamu anayeweza kizuia mpango wa Mungu.
Nchi hii ni tajiri wa rasilimali lakini zinagawiwa bure kwahiyo Lissu akiwa raisi atazilinda mali zetu vizuri kwa mikataba isiyokua na utata wa shaka kwa wananchi tumuombee raisi wetu aendelee kuimarika kiafya ili tukomboke watanzania kutoka katika mikono ya mafisadi hakika nitaendelea kububujikwa na machozi ya furaha mpaka Lissu atakapo tuachia katiba Bora zaidi duniani yenye demokrasia ya kweli na uhuru wa kweli iwe kuhoji au kukosoa ndugu zanguni.
Hakika kila mtu anapaswa kuamini kua Lissu katumwa na Mungu kuja kutuokoa kwahiyo tusifadhaike tunaenda kuwa huru muda so mrefu watanzania tutaishi kwa kichagua viongozi wetu tuwatakao na so kuchaguliwa na watakwao na chama Cha mafisadi.
Ni Mimi kijana wenu.
LUKAS MWASHAMBA
π πππ pumbavu