Tunataka wanachama wamuwe wenyewe sio kikundi kidogo chenye visasi ni kura tu sio kukatwa mtu
Tunataka wanachama wamuwe wenyewe sio kikundi kidogo chenye visasi ni kura tu sio kukatwa mtu
akikatwa lowasa patachimbika by kingunge ngombale mwiru...
akikatwa lowasa patachimbika by kingunge ngombale mwiru...
Tunataka wanachama wamuwe wenyewe sio kikundi kidogo chenye visasi ni kura tu sio kukatwa mtu
Salaam
Wanabody..!
Kumekuwa na kauli nyingi za kuwatisha wanaccm na kuwaaminisha wananchi kuwa eti kuna mwanaccm bora zaidi kuliko mwingine..! Haya ni matusi kwa chama ambacho ni kikongwe hapa nchini na Africa kwa ujumla.
Nataka kuwaondoa shaka wanachama,wapenzi,wakereketwa na washabiki wa chama cha mapinduzi,kuwa ccm ni maarufu zaidi kuliko hao wagombea wote wa nafasi ya juu kabisa ktk Taifa letu.
CCM ina katiba yake,ina kanuni na taratibu za kupata wagombea wake ktk nafasi zote za uongozi.
Wagombea wote wa nafasi ya urais,huo umaarufu wanaojidai nao wameupata ndani ya ccm na wanaendelea kuwa maarufu ndani ya ccm. Nje ya ccm hawana lolote..!
Atakayeteuliwa,hatateuliwa kutokana na umaarufu wake,atateuliwa kwa kufuata sifa na vigezo vilivyowekwa na si umaarufu wa mtu.
Namaliza kwa kusema,kila mgombea ajiandae kisaikolojia km anavyoonekana kujiandaa waziri mkuu Mizengo Pinda,huyu ndo mgombea ambae hana pressure kwa matokeo yoyote yale..! Atakayesimamishwa na CCM hata km hajulikani kabisa,kuanzia sekunde ya kwanza ya kutangazwa kwake,kila mtu atataka amjue..!!
Kidumu chama cha mapinduzi.
Mkuu nselembwe kufanya uteuzi wa jina moja kwenye kundi la watu 40 au zaidi wenye sifa inahitaji busara zaidi kuliko kura km unavyofikiri. CCM wanamfumo mzuri sana wa kufanya hiyo kazi. Nakuhakikishia haki itatendeka,hakuna atakayeonewa. Na labda nikuambie,ndani ya ccm hakuna kushinda wala kushindwa! Huko wanatafuta mwenzao atakayepeperusha bendera ya kijani kushindana na UKAWA na vyama vingine.Tunataka wanachama wamuwe wenyewe sio kikundi kidogo chenye visasi ni kura tu sio kukatwa mtu
Mkuu KIBARAone ukiacha ushabiki kidogo tu na kuamua kusema ukweli,huwezi kukwepa ukweli kwamba ccm ni maarufu zaidi kuliko watangaza nia wote! Halafu kitu ambacho hukielewi,hao wanaosema ni maarufu ni kwa sababu wamo humo ndani ya ccm,wakitoka hata habari zao ili ziandikwe watalazimika kuhonga. Kwa jinsi ccm ilivyo maarufu,vikao vya uteuzi vikiishaanza,kwenye vyombo vyote vya habari hiyo ndo itakuwa habari..!! CCM hata wakiamua ugombee wewe,utajulikana siku hiyo hiyo ingawa suala la kushinda uchaguzi ni jambo jingine.... Toka ln chama chakavu kikawa maarufu
Mkuu hata wabunge anaweza kuwapunguza,record ya lowassa si nzuri sana,akiondoka ccm na ccm wakaamua kumshambulia,chama atakachoenda kitapunguza idadi kubwa sana ya wabunge.Alikatwa malecela akiwa na ushawishi NEC na mkutano mkuu Wa ccm na cc pia maana alikua mjumbe Wa cc tena akiwa makamu mwenyekiti wa ccm taifa,itakua lowassa ambae ni mjumbe tu Wa NEC tena Wa kupitia wilayani,hayumo hata kwenye kamati kuu.ccm hata ikimsimamisha nape itashinda tu,lowassa akienda upinzani yes ataipa changamoto ccm lakini hawezi kushinda sema atawapatia wabunge wapinzani