My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
Karibu Jukwaani MkuuMtaji wao mkubwa ni idadi kubwa ya Watanzania wajinga, mtu mjinga ni mtu mwenye akili duni iliyochoka hata kifikra, ni mtu hatari ambaye anaweza kufanya lolote ili ashibe tu bila kujali nini kitatokea.
Ni CCM ya kina Mwigulu Nchemba wanaokula mishahara ya mamilioni ya pesa kwa mwezi, ndo wanaowasimanga watanzania maskini kwenye tozo eti kama hawataki wahamie Burundi.
Ndo hawa watu wanaomkufuru Mungu kila siku eti chama chao kitaitawala Tanzania milele yote. Ndo hawa wanaozunguka wakifanya ushirikina kila mwaka kutumia Mwenge, eti Mwenge uchome mafisadi wakati majizi yote Tanzania yapo CCM [emoji16] [emoji1][emoji1][emoji16][emoji1].
Taifa bado halina mbele wala nyuma,bora siku ziende.
Endelea Kupiga kazi na kujenga nchi, muda huu ni muda wa lunch baada ya kujenga nchi kuanzia saa Moja ,natumaini na wewe upo kwenye mishe za kutafuta pesa.Siasa haiwezi kukuletea chakula mezani unless umeajiriwa kwenye siasa.#achagubu #tafutahela.Mtaji wao mkubwa ni idadi kubwa ya Watanzania wajinga, mtu mjinga ni mtu mwenye akili duni iliyochoka hata kifikra, ni mtu hatari ambaye anaweza kufanya lolote ili ashibe tu bila kujali nini kitatokea.
Ni CCM ya kina Mwigulu Nchemba wanaokula mishahara ya mamilioni ya pesa kwa mwezi, ndo wanaowasimanga watanzania maskini kwenye tozo eti kama hawataki wahamie Burundi.
Ndo hawa watu wanaomkufuru Mungu kila siku eti chama chao kitaitawala Tanzania milele yote. Ndo hawa wanaozunguka wakifanya ushirikina kila mwaka kutumia Mwenge, eti Mwenge uchome mafisadi wakati majizi yote Tanzania yapo CCM [emoji16] [emoji1][emoji1][emoji16][emoji1].
Taifa bado halina mbele wala nyuma,bora siku ziende.
Endelea Kupiga kazi na kujenga nchi, muda huu ni muda wa lunch baada ya kujenga nchi kuanzia saa Moja ,natumaini na wewe upo kwenye mishe za kutafuta pesa.Siasa haiwezi kukuletea chakula mezani unless umeajiriwa kwenye siasa.#achagubu #tafutahela.
Naunga mkono hoja. Je, tuna mbadala?
Kama hatuna, tusubiri hadi tukipata mbadala.
Siasa ndo kila kitu.kama uelewi jielimishe.Endelea Kupiga kazi na kujenga nchi, muda huu ni muda wa lunch baada ya kujenga nchi kuanzia saa Moja ,natumaini na wewe upo kwenye mishe za kutafuta pesa.Siasa haiwezi kukuletea chakula mezani unless umeajiriwa kwenye siasa.#achagubu #tafutahela.
Diuuuuh hii emu ielezee vizuri mkuu maana nasikiasikia tu ule mwenge ni ushirikina ushirikina emu fafanua watu wajinga wapo wengi humu wafunue bongo zao wafafanulie waelezee ushirikina gani huo unaofanyika kwa kupitia ule mwenge?Ndo hawa wanaozunguka wakifanya ushirikina kila mwaka kutumia Mwenge
Mkuu naomba uelezee na point ya mwenge umeiacha ameielezea hapo emu km unafahamu kuhusu mwenge toa mwanga tuelewe maana hizi tuhuma sasa zimezidiYote kwa yote CCM ndicho chama pekee chenye watu timamu wa kuingoza nchi hii. CCM hakijawahi kutoa kauli ya kuhamasisha fujo au uvunjifu wa amani lakini Mara nyingi nawasikia wapinzani hususani CHADEMA wakisema Bora damu imwagike
Nikija kwenye hoja yako juu ya Tozo na kuhamia burudi. Kwanza tukumbuke aliyetoa matamshi hayo sio kiongozi wa CCM hivyo kauli yake haihusiani na CCM na alitoa mtazamo wake kama raia na si Kama kiongozi wa CCM
Kwa Sababu gani? Waziri wa fedha hana mamlaka yoyote ya kumhamisha mtu kwenda nchi nyingine na hivyo kitendo cha kusema hivyo na kutoa maoni binafsi au mtazamo tu. Kama maneno hayo yangetamkwa na waziri wa Mambo ya ndani au Rais au kamishna wa uhamiaji hapo uzito ungekuwepo. Katiba ambayo inazungumzia haki ya kutoa maoni kwa nini iwe nongwa kwa waziri kutumia haki hiyo?
Pia, naona Burundi iliyotamkwa sio nchi ila ni mfano wa sehemu penye unafuu na Burundi hiyo iliyokuwa inazungumziwa kipindi hiko labda ni kuhama kutoka kufanya miamala kwa simu na kuhamia kufanya miamala kwa benki na njia nyingine. Nimewaza ki-PHD maana aliyesema hivyo ni daktari wa filosofia
Kwahiyo hao waliosema bora damu imwagike ni tamko la chadema kama chama au ni mawazo na mtazamo wa mtu.naona unatapata tu bila hoja.kamwe huwezi kuitenganisha ccm na yanayoendelea nchi hii kwasababu wao ndio wanaounda serikali ndo maana ata utetezi wako unajichanganya tu.Yote kwa yote CCM ndicho chama pekee chenye watu timamu wa kuingoza nchi hii. CCM hakijawahi kutoa kauli ya kuhamasisha fujo au uvunjifu wa amani lakini Mara nyingi nawasikia wapinzani hususani CHADEMA wakisema Bora damu imwagike
Nikija kwenye hoja yako juu ya Tozo na kuhamia burudi. Kwanza tukumbuke aliyetoa matamshi hayo sio kiongozi wa CCM hivyo kauli yake haihusiani na CCM na alitoa mtazamo wake kama raia na si Kama kiongozi wa CCM
Kwa Sababu gani? Waziri wa fedha hana mamlaka yoyote ya kumhamisha mtu kwenda nchi nyingine na hivyo kitendo cha kusema hivyo na kutoa maoni binafsi au mtazamo tu. Kama maneno hayo yangetamkwa na waziri wa Mambo ya ndani au Rais au kamishna wa uhamiaji hapo uzito ungekuwepo. Katiba ambayo inazungumzia haki ya kutoa maoni kwa nini iwe nongwa kwa waziri kutumia haki hiyo?
Pia, naona Burundi iliyotamkwa sio nchi ila ni mfano wa sehemu penye unafuu na Burundi hiyo iliyokuwa inazungumziwa kipindi hiko labda ni kuhama kutoka kufanya miamala kwa simu na kuhamia kufanya miamala kwa benki na njia nyingine. Nimewaza ki-PHD maana aliyesema hivyo ni daktari wa filosofia
Mzee Kinana na Shaka watoa kauli kila siku wanawatolea viongozi wa Ccm ipi hii ambayo ni mwanachama au kuna ccm mbili kwa sasaYote kwa yote CCM ndicho chama pekee chenye watu timamu wa kuingoza nchi hii. CCM hakijawahi kutoa kauli ya kuhamasisha fujo au uvunjifu wa amani lakini Mara nyingi nawasikia wapinzani hususani CHADEMA wakisema Bora damu imwagike
Nikija kwenye hoja yako juu ya Tozo na kuhamia burudi. Kwanza tukumbuke aliyetoa matamshi hayo sio kiongozi wa CCM hivyo kauli yake haihusiani na CCM na alitoa mtazamo wake kama raia na si Kama kiongozi wa CCM
Kwa Sababu gani? Waziri wa fedha hana mamlaka yoyote ya kumhamisha mtu kwenda nchi nyingine na hivyo kitendo cha kusema hivyo na kutoa maoni binafsi au mtazamo tu. Kama maneno hayo yangetamkwa na waziri wa Mambo ya ndani au Rais au kamishna wa uhamiaji hapo uzito ungekuwepo. Katiba ambayo inazungumzia haki ya kutoa maoni kwa nini iwe nongwa kwa waziri kutumia haki hiyo?
Pia, naona Burundi iliyotamkwa sio nchi ila ni mfano wa sehemu penye unafuu na Burundi hiyo iliyokuwa inazungumziwa kipindi hiko labda ni kuhama kutoka kufanya miamala kwa simu na kuhamia kufanya miamala kwa benki na njia nyingine. Nimewaza ki-PHD maana aliyesema hivyo ni daktari wa filosofia
Yote kwa yote CCM ndicho chama pekee chenye watu timamu wa kuingoza nchi hii. CCM hakijawahi kutoa kauli ya kuhamasisha fujo au uvunjifu wa amani lakini Mara nyingi nawasikia wapinzani hususani CHADEMA wakisema Bora damu imwagike