CCM ni chama imara sana

View attachment 487520
Kwa sababu wewe umependa kulaani kuliko kubari hivyo hicho kinywa chako na kizazi chako mkapigwe na hiyo laana uliyo toa mara 100x70 wewe na uzao wako milele....hiyo ndiyo Siri ya uumbaji...,pokea ulicho nena milele yote
"CCM-Chama cha Magamba*"
"CCM-Chama cha Majangili*"
"CCM-Chama cha Matahil*"
"CCM-Chama cha Mipasho*"
"CCM-Chama cha Magwiligijo*"

Na nitashangaa sana tena sana na rudia tena nitashangaa sana na huzuniko la moyo kama utakuwa ni Kijana.

Nyakati hizi haswa kijana Makini na mwenye akili timamu hata kuitazama bendera ya Kijani ni kosa kubwa sana Maishani.

Na Mwisho binadamu yoyote aliye na Pumzi na ubongo ulio sawia hasa nyakati hizi hawezi kuwa CCM. Ni bora kutokuwa na Chama kuliko kuwa na kijani kibichi.
 
CCM bila mbeleko ya misukule wa chama hakiwezi kushinda, labda kwa kuwa mtaji wenu ni watu wasiojitambua na masikini wasiojua kwamba zama za Mwalimu Nyerere zilikwisha kupita!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…