CCM ni chama cha MUNGU

Magufuli naye ni mungu. Mtu anajua mpaka idadi ya samaki ziwani!
 
Mbona hakiendi kutawala kenya, sudan, usa, afghanistan, iraq, libya, uswisi..?
 

Hata shetani hujiita mungu, sasa hawa jamaa hujazana kule mlingotini, nafikiri huko ndio kwa mungu wa ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…