Bawacha mnapenda kuhongwa wewe umehongwa nini tuambie tujue maana kwa kuhongwa mnaongoza.Uongozi wa ccm wilaya umejitahidi kukinusuru ccm kwa kujifanya kutoa mkopo wa boda boda 70 kwa waendesha boda boda ikiwa ni siku chache kuelekea uchaguzi mkuu october 2015.,hata hivyo vijana hao walio kopeshwa Pikipiki hizo wamesikika wakisema hizo pikikpiki wanachukua na kura wanampigia lowasa na kura zao zinaenda kwa ubunge na udiwani ukawa
Naona mpini unaingia taratibu vipi unajisikiaje dada?Bawacha mnapenda kuhongwa wewe umehongwa nini tuambie tujue maana kwa kuhongwa mnaongoza.
piki PKI chukueni msisaliti nafsi zenu kwenye kura tumieni vizur vichinjio vyenu Kama ilivyokuwa Kwa mh.Matilda ARUSHA .chukua Pikipiki Ccm kura yako Kwa ukawa
Naona mpini unaingia taratibu vipi unajisikiaje dada?
Ccm kwa sasa wanahangaika kwa kutojua cha kufanya maana kila kona wameoza na lowasa amewashika kila pahala
Jamani, hivi mtu akikukopesha amekuhonga? tujitahidi kuelewa vizuri lugha. kama wamekopeshwa wanapaswa kulipa swala la kuhongwa linatoka wapi? ikiwa hao vijana wanashindwa kutofautisha kati ya kupewa na kukopeshwa, basi waelimisheni. Au ndo wameambiwa walipe kura badala ya fedha.
Jamani, hivi mtu
akikukopesha amekuhonga? tujitahidi kuelewa vizuri lugha. kama wamekopeshwa wanapaswa kulipa swala la kuhongwa linatoka wapi? ikiwa hao vijana wanashindwa kutofautisha kati ya kupewa na kukopeshwa, basi waelimisheni. Au ndo wameambiwa walipe kura badala ya fedha.