Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 2,638
- 2,382
Jembe la watanzania
Yaani umeweza kuandika hadi maneno ya Kiingereza lakini neno moja la Kiswahili "HAKI" umelikwepa?Tunaomba kura yako tarehe 28 october iende kwa magufuli hakika ndoto zako zitatimia maana yeye ndie anaetufaa naomba sana kura yako umpe View attachment 1577503
Siwapi kura yangu watu wa namna hiyoTunaomba kura yako tarehe 28 october iende kwa magufuli hakika ndoto zako zitatimia maana yeye ndie anaetufaa naomba sana kura yako umpe View attachment 1577503
Jembe la kupoteza watuJembe la watanzania
Jembe ukilitumia vibaya linaweza kuteka,kuuwa n.k
Wakoloni weusiSijawahi kumsikia mwanaCCM hata mmoja akitamka neno 'haki'Wote mnaimba wimbo mmoja wa neno 'amani'Leo nimeamua kuwauliza hili neno mtakapotamka mnadhani ni tusi au kunywa sumu?Nawauliza kwa nini hili neno mnaliogopa sana kulitamka kwa watanzania?