CCM Nambari wani


Hawa ni baadhi ya wabunge wetu wa ccm wanaotuwakilisha katika bunge la bajeti linaloendelea.

Hii picha ni Mhe. Captain John Komba ambaye kwenye Mchango wake wa BAJETI 2012/13 alikurupuka na kusema ati Wabunge wa UPINZANI WAKAPIMWE AKILI HOSPITAL YA MIREMBE NDIPO WAREJEE BUNGENI KWA VILE WALIKUWA WANAPINGA BAJETI NZURI YA SERIKALI YA CCM!!!

Hapa huyu jamaa amelala fofofo sasa ni saa ngapi alisikia michango ya Wabunge wa upinzani na akawahukumu kuwa ni vichaa. Huyu Komba nafikiri anaumwa,huku kulalalala Bungeni si bure. Tunasikia sifa za Komba hata akapewa Ubunge ni KUKATA MAUNO KWENYE ILE BENDI YA JESHI-TAARABU. Huku ndo kwenye maeneo yake,huku Bungeni hakumfai!!!!
 

Komba anathibitisha ule usemi wa Kichaa kuwaona watu werevu kuwa ndiyo vichaa. Komba siyo mwanasiasa, bali shabiki wa wanasiasa.
Kati ya watu wanaolamba viatu vya vigogo, Komba ni nambari wani!
 
Na hapo alipo atakuwa ana muota Lulu, akishtuka tu anagonga meza ndiyooooooooo!!!!!!!!!
Na huyu anaposinzia hata wakati wa kula huwa anamuota nani?
 

Attachments

  • Wassira.jpg
    16.7 KB · Views: 819

Hawa ni baadhi ya wabunge wetu wa ccm wanaotuwakilisha katika bunge la bajeti linaloendelea.

Anawaza mbali sana hapo, espeshale kuhusu toti yake inavyomfia. Ana mengi sana, tena ishu ya l***lu
 
Wananchi wa jimbo lake wanatakiwa wamwone mheshimiwa mbunge wao mchumba wa Lulu jinsi anavyowawakilisha ipasavyo.
 
Mwacheni alale kesi ile inampa mawazo sana.
 
. Nambari one kulala,dhaifu, kuiba, kufisadi, na kuzini, kazi ZERO

Tata, Mbuya warai?
Jk dhaifu,
Bunge wazembe,
ccm wapuuzi!

Silly Season!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…