CCM Mwanza yaaibika yabakia na mziki

Yaani mkuu ungelikuwa umeweka picha hapa ungelikuwa umeyakata maini haya maccm, sasa hivi yanaona kama unayasingizia!!!
 
Mwanza hakuna wajinga.wote wanajtambua.Viva cdm.
 
Mwanza hakuna ccm wala tawi lao dogo! Tumejipanga kuzika hata masalia yake uchaguzi ujao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…