Jaribu kuona aibu othumani masud ni mwakilishi wa cuf yupo bungeni kuwakilisha cuf kwakuwa cuf wamegoma kuingia bungeni yeye kafuata posho tu ila hutamsikia kusema kitu badala yake anasubiri posho tu.Kila Mzanzibari alie CCM ambae ni kiongozi anaeonekana kwenda kinyume na matakwa ya CCM mwisho wake huwa mbaya na huvuliwa nyadhifa zote za uongozi na kutupwa kama mzoga na huonekana si lolote si chochote katika jamii ya wanaCCM. Na hili zaidi hutendewa WaZanzibari tu ,angalia Akina Seif na wenziwe wakati wa Nyerere walitimuliwa ,ni juzi tu Mansor Yousef nae katimulia ,hata haukujatulia Yule Mwanasheria Mkuu nae anaundiwa zengwe afukuzwe habari zipo huku Othman Masoud kufukuzwa nafasi ya MMWZ na Kupewa Mkusa Sepetu..Bado iko siri - Mzalendo.net
Mbona huku Tanganyika hakuna afukuzwae kuna mambo kibao ,hatusikii Mtanganyika kufukuzwa lile la Mwigulu kama angelisema Mzanzibar ndani ya bunge la Katiba bai ingelikuwa ameshapata la kumpata ,mbali ya viongozi wakuu waliohusishwa na mambo mbalimbali ikiwemo rushwa na mikataba mibovu kama wangekuwa wazenji wangelikwisha fukuzwa chamani na kutolewa ndani ya serikali .ila tunawaona akina Lowasa wavijisenti. wanapeta ndani ya CCM mbali waliojitangaza kugombea uraisi ndani ya CCM ,kama wangelikuwa wazenji basi wangekwishatimuliwa.
Othumani ni cuf au hujui unachofanya wewe bavicha tafuta vizuri ujue ndiyo useme siyo kuropoka unatia aibu sana.
eeh Mwenyezi Mungu tuepushie hili suala la ZANZIBAR ni NCHI au SIO NCHI
mana naona tuendako siko
Nijuavyo mimi Waziri wa Sheria Mr Aboubakar ndo CUF. Huyu mwanasheria ni mfanyakaz wa Serikali, hana chama. Kama anacho ni moyoni mwake. Lakini ni mtumishi wa Umma, ambae kisheria ni Neutral man hata kama ana chama
CCM wabaguzi sana.
CCM wabaguzi sana.
Kama walivyo CHADEMA unaona mbali sana kama makengeza ya mwenyekiti wenu.
Othumani ni cuf au hujui unachofanya wewe bavicha tafuta vizuri ujue ndiyo useme siyo kuropoka unatia aibu sana.
Umeongea vzr lakini umeharibu topic kuhusisha watu wengine kama akina Lowassa na Vijisenti. Hata mkijitenga ndugu zetu mtakula nini wakati ndo hivyo tena hamtaki kufanya kazi zaidi ya kucheza taarabu?
Othumani ni cuf au hujui unachofanya wewe bavicha tafuta vizuri ujue ndiyo useme siyo kuropoka unatia aibu sana.