CCM mmevuliwa nguo, kubali kuchutama

Unapomuona mtu anayekutuhumu kwa maovu uliyonayo, bila kuangalia mazuri uliyonayo, hali ya kuwa yeye anajiona hana maovu ni dhahiri mtu huyo anachokitafuta ni faida binafsi
Hebu tuambie faida alio ileta huyo jiwe.
 
Katika majira kama haya, Mungu anaenda kumfuta Freeman Mboye machozi..! Huyu kaka ameteseka sana, amefilisiwa mali yake yote, mazao ya shambani kwao yamengolewa, ametafutiwa kesi za kila aina, amefungwa mahabusu mara nyingi, ameshambuliwa na kuumizwa vibaya, amepata vitisho vya kila aina na sasa wanataka kuuza nyumba ya ukoo wao. Cha ajabu, hata tetereka ameyabeba machungu yote kwa gharama ya uhai wake. SASA MUNGU AMKUU AMEONA HAYO YOTE NA ANAENDA KUMFUTA MACHOZI PAMOJA NA WATANZANIA WENGI WALIOPITIA MADHILA KAMA HAYO
 
Nchi inaendeshwa kwa hisia za mtu mmoja na sio kitaasisi kama inavyotakiwa!
Budget na vipau mbele vya taifa ni kama atakavyo mtu na sio Bunge la ndugai ambalo limekuwa la hovyo kabisa!
Hata chama cha ccm kinachotakiwa kusimamia serikali hakitajwi tena na badala yake anatajwa mtu! 🤣
 
Ccm kimewafanyia watz mema mengi sana
 
Aiseee Tundu lissu kairudisha chadema kwenye ramani, kibaya zaid kaweka CCM kwenye defensive mode hahahah yani ndani ya week tu upepo umebadilika.
 
Hivi Tundu Lissu akiongeza kidogo tu hiyo "spidi" yake, mambo yatakuwaje huko CCM?

Si ndiyo wataanza kuchanganyikiwa kabisa?
Ndiyo maana wanapanga mbinu za kumuengua kwani akishiriki kampeni watapata tabu sana.
 
Kwani kampeni zimeshaanza? Ngojeni tutawavua nguo mchana kweupeeeeee
 
Sijui hata ualimu aliupataje uyo jamaa. Raisi ana maneno machafu kama makondakta wa stendi au vijana wahuni wa vijiweni
 
Aisee😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…