Habari za mbulu,karibu JFNi ukweli usiopingika kuwa hali ya magamba mbulu ni mbaya tangu 2010 mpaka sasa, japo ccm wanajaribu kutumia kikundi kidogo cha sarakasi cha tumaini group kama njia mojawapo ya kuvutia watu katika mikutano yao, ila wambulu ni watu wenyemisimamo hasa kwa kile wanachokiamini[ CHADEMA] na ushahidi ni pale kwenye uchaguzi mdogo wa udiwani dongobesh ambapo chadema ilitetea kata yake bila matatizo japo Ccm waligawa pesa nyingi sana kwa wananchi . mungu ibariki chadema daima
Naona Magamba Mnaota ndoto za mchana,sio tu Mbulu kwa sasa nipo Sengerema napo yana hali mbaya,Watanzania wamechoka na chama cha majambazi,wezi,mafisadi,wauza unga,majangili,wauaji wa raia.
KARNOON hivi Philip Marmo na miaka yake karibuni 30 ya ubunge alifanya kipi?jaani nyie watoto wa lumumba mnakazi,hau ndio Simu mlizopewa na January Makamba?sasa kwa taarifa yako CCM mbulu hawana chao
Bora umeona hata Jengo! Jengo la CDM Mbulu liko wapi?
MSTAPHA AKONAY amefanya nini mkuu hapa Mbulu?
Acha kujidanganya CDM HAMNA CHENU MBULU 2015...Wairaqw wanajua hawana mbunge kwa sasa!CDM mmewaingza mkenge RAIA WA JIMBO LA MBULU.
Ni ukweli usiopingika kuwa hali ya magamba Mbulu ni mbaya tangu 2010 mpaka sasa, japo CCM wanajaribu kutumia kikundi kidogo cha sarakasi cha tumaini group kama njia mojawapo ya kuvutia watu katika mikutano yao, ila wambulu ni watu wenye misimamo hasa kwa kile wanachokiamini [CHADEMA] na ushahidi ni pale kwenye uchaguzi mdogo wa udiwani Dongobesh ambapo CHADEMA ilitetea kata yake bila matatizo japo CCM waligawa pesa nyingi sana kwa wananchi .