CCM Manyoni hili likoje?

cha1509

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2018
Posts
258
Reaction score
403
Kwanini fremu za maduka katika majengo ya CCM jengo la CCM wilaya ya manyoni mjini, inalipwa tofauti? Kuna mtu analipa 30000,50000,70000, 120000, na 150000 mbaya zaidi frem hizi zilimilikiwa na wababe toka miaka ya nyuma, lkn mpka Sasa wao hawaendeshi biashara yyte lakin wenyewe wamegeuka kuwa ma -landlord , wanawalipisha pesa ndefu wananchi wanyonge na vitisho kubao,

In maana viongozi hamjui hili?
Au ndio soko huria?
 
Huo ni utapeli aka wizi halali.Wakati tunaendelea na hilo mtukumbushe yule mkurugenzi aliyeua kwa bastola kesi yake inaendeleaje?
 
Vina ukubwa sawa na je biashara zinazo fanyika humo zinafanana je wote wanalipa ccm au kuna mtu analipwa kwa niaba ya ccm
 
Waliounga juhudi huwa tunawapunguzia kodi nyie wapagani wa chama chetu tunapiga kodi kubwa tu mpaka akili zije
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…