chakufia nini JF-Expert Member Joined Apr 14, 2015 Posts 692 Reaction score 456 Oct 13, 2015 #1 Watanzania wameamka, CCM lazima iteleze, isipoteleza kwenye urais bara basi itateleza kwenye wabunge,ikipenya kwenye wabunge basi Zanzibar haitatoka naamini kwa vyovyote vile Tanzania mpya inakuja. Mungu ibariki Tanganyika, Mungu ibariki Tanzania
Watanzania wameamka, CCM lazima iteleze, isipoteleza kwenye urais bara basi itateleza kwenye wabunge,ikipenya kwenye wabunge basi Zanzibar haitatoka naamini kwa vyovyote vile Tanzania mpya inakuja. Mungu ibariki Tanganyika, Mungu ibariki Tanzania
Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,789 Oct 13, 2015 #2 Usiwape matumaini hewa! Hakuna ubaya kuwapa ukweli , kwamba mwaka huu hawatoki ! Ni mtelezo uliyokamilika .
Usiwape matumaini hewa! Hakuna ubaya kuwapa ukweli , kwamba mwaka huu hawatoki ! Ni mtelezo uliyokamilika .
Mkwere Sumbawanga JF-Expert Member Joined Sep 28, 2015 Posts 757 Reaction score 672 Oct 13, 2015 #3 mwaka huu wamebanwa kila kona hadi udiwani