CCM Kweli Tamuuu...

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
5,098
Reaction score
1,341
Wako wapi wazee hawa, wamelipa pesa za kesi ambayo mpaka leo namkumbuka sana mzee makamba.......... Kweli CCM Tamuuu.
 
Mbona hueleweki wewe? Au unahisi njaa? Kale alafu unyooshe maelezo hapa
 
Mbona hueleweki wewe? Au unahisi njaa? Kale alafu unyooshe maelezo hapa

Kifai hoyeeeeee.....

Hoja yangu ni CCM ukiisikiliza na kuifata inaleta raha na kuchekesha sanaaa, wazee hawa walilazimishwa kufungua kesi hisiyowahusu na mahakama ya rufaa imeziilisha ili na kuwa hamulu kulipa..... sasa swali langu
~ Je wazee hawa wapo hai???!!!
~ Je CCM imewasaidia nini baada ya mambo kuwa mabaya kwao ( sasa kwanini nisiseme CCM Kweli Tamuuu!!!!!
~ Na je wamefaidika nini mpaka sasa kiujumla.....

CCM Kweli Tamuu kwa style hiii....
 
Kama ni suala la kuanzisha thread umefanikiwa lakini kwa kutoa hoja zenye mantiki umepata 00%.
 
Huyo Mkaanga(wa kwanza kulia) aliweka hati ya nyumba ya mtoto wake, tunaipiga mnada hii nyumba mda sio mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…