Ccm kuingia Arusha muda si mrefu

yani sisi watu wa arusha hata kama ingekua ni JK anaendesha yale Makatapiller yakujenga barabara chama kilichopo mioyoni mwetu ni chadema tuuuu... HATUDANGANYIKI

Hahahaha! Ndio maana nawapenda sana wanaArusha wote.
 
Oh!The dead ccm!wanakuja kujizika kabisa!RIP THE OLD ROTTEN PARTY!THE WALKING DEAD.
 
Wana Arusha! Kuleni nyama zote mkishindwa nyingine pelekeni nyumbani. Hiyo ni kodi yenu. Mwisho wa siku ninawaomba kama mlikuwa mmeichimbia CCM kaburi la meta sita, nendeni mkaongeze ziwe meta kumi na mbili ili isikae ijipindue upande wa pili. Inastahili kuozea ubavu mmoja tu! Hongereni wana Arusha! Hongera Mr. Lema kwa kusimama kidete pamoja na vitisho ambavyo CCM imeifanyia Arusha hadi dakika hii!
 

Kuna watu wanatoka maeneo yanayoitwa "njia ya vumbi" ingawa siku hizi hakuna vumbi,wataletwa wengi sana zaidi ya uzinduzi wa Arumeru.Kwa ujumla itawasaidia CCM huko nji aya vumbi.Ila wakikosea watajikuta wakiwaletawa tu waje fundishwa ichukia CCM.
 
yani sisi watu wa arusha hata kama ingekua ni JK anaendesha yale Makatapiller yakujenga barabara chama kilichopo mioyoni mwetu ni chadema tuuuu... HATUDANGANYIKI

mkuu godwinnko hata kikwete angeshika sururu beleshi jembe ndiyo atengeneze barabara hata atoe tamko ikulu inahamia arusha na yeye na familly yake arusha ni ya chadema arusha niya Lema mbaka asema sitaki au nimechoka maana chuki kubwa ya ccm arusha ni Lema kila mwana ccm ninaye muhoji wanasema tunajua aruha ni ya chadema ila hawamtaki Lema
 
E.L atagombea urais. Jimbo lake litakwenda kwa nani na bado urais anakosa?
 
Eti wanakuja hapa A town??


Hawa hawajui kusoma alama ya nyakati nini????
Hata wangeongozana na Kawawa+jk+mkapa!
Hakika hapa wataambulia manyoa tu!
 
nitakuwepo kula nyama.. other factors will remain to be constant!
 
Tunasubiri kula ubwawa na nyama A town hampati chapaa jombaa!
 

kama ni sherehe poa sana.....nitakuwepo na nitacheza rhumba mpaka liamba.....mradi sio kura.....
 
Kipofu hasahau chumba chake. Wamepakumbuka, wanapamiss na wataendelea kupamiss.
 
Kwa sasa tunajishuhulisha na ujenzi wa jiwe la msingi karibu na jengo jipya la nssf pale roundabout,,,,,karibu ccm karibu kikwete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…