Aha! Mi nilidhani kuna jipya katika hili kumbe ni ile muvi ya ubakaji wa demokrasia inayoendelea? Ama kweli CCM maji ya shingo sasa. Naona wapinzani na haswa CDM wamewashika pabaya kila mahali.Jamani mi nipo huku tukuyu labda hamjui kilicho endelea , baada tu ya mwenyekiti kufariki kwa kupigwa lisasi. polisi wa limkamata mpinzani wa aliye kuwa diwani yaani mwenyekiti wakimuhusisha na mauwaji yale. Lakini baada ya mda akajitokeza mtu aliye kili kuwa yeye ndie aliye ua {confension}! bado waliendelea kumshikilia yule mpinzani ,{kwani angeweza kushinda uchaguzi mdogo} , nakumfanya ashindwe kugombea ,Mungu si Athumani ndani ya. C.M.D walio chukuwa fOrm kwaajili ya kura za maoni wamefika saba na CCM hawajapata mgombea mpaka hivi sasa hali iliyo mlazimu mkulugenzi wa Alimashauri kusogeza mbele tarehe ya uchukuaji form. Kijanja na huenda uchaguzi wa diwani ukahailishwa .... Chaajabu pia nikwamba wamefanya uchaguzi wa mwenyekiti wakati kuna kata mbili zinazo talajiwa kufanya uchaguzi ambazo labda ndo zinge toa mwenyekiti bora.
Asante wana CCM Rungwe.CHAMA cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Rungwe mkoa wa Mbeya kimeshinda kwa kishindo nafasi ya mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Rungwe kwa kuwabwaga wapinzani katika uchaguzi huo mdogo.
Uchaguzi huo ulifanyika ili kuziba pengo liloachwa wazi na aliyekuwa mwenyekiti wa halmashauri hiyo aliyeuwawa mwanzoni mwa mwaka huu kwa kupigwa risasi.
Habari kutoka Rungwe zinaripoti kuwa katika uchaguzi huo wajumbe wamemchagua kwa kura 40 aliyekuwa makamu mwenyekitiwa halmashauri hiyo, Meckson Mwakipunga (pichani) huku mgombea wa NCCR Mageuzi, Anyimike Mwakasikilali akiambulia kura 3 tu.
Ndugu yangu usuwadanganye watu kwa vile hawako Tukuyu.Jamani mi nipo huku tukuyu labda hamjui kilicho endelea , baada tu ya mwenyekiti kufariki kwa kupigwa lisasi. polisi wa limkamata mpinzani wa aliye kuwa diwani yaani mwenyekiti wakimuhusisha na mauwaji yale. Lakini baada ya mda akajitokeza mtu aliye kili kuwa yeye ndie aliye ua {confension}! bado waliendelea kumshikilia yule mpinzani ,{kwani angeweza kushinda uchaguzi mdogo} , nakumfanya ashindwe kugombea ,Mungu si Athumani ndani ya. C.M.D walio chukuwa fOrm kwaajili ya kura za maoni wamefika saba na CCM hawajapata mgombea mpaka hivi sasa hali iliyo mlazimu mkulugenzi wa Alimashauri kusogeza mbele tarehe ya uchukuaji form. Kijanja na huenda uchaguzi wa diwani ukahailishwa .... Chaajabu pia nikwamba wamefanya uchaguzi wa mwenyekiti wakati kuna kata mbili zinazo talajiwa kufanya uchaguzi ambazo labda ndo zinge toa mwenyekiti bora.

Ndugu yangu usuwadanganye watu kwa vile hawako Tukuyu.

Soo lilitokea kila mtu analifahamu, kuna watu waliochanga fedha katika mauaji hayo(wa CCM na hata wapinzani), hilo litaelezwa mahakamani.

Kama mtu wako alihusika basi asubiri kusafishwa na mahakama.

Cha kusikitisha ni kwamba waliotenda tendo hilo walitegemea wao wangefaidika na mauaji hayo kitu ambacho ni cha kipuuzi sana.

Mazishi ya J Mwankenja mimi nilikuwepo vile vile na niliona wananchi wa rika zote walivyo mlilia.Wapinzani wengi walishaingia mitini,hata muwakilishi wa CDM alivyo babaika(kwa kujua au kutojua) watu walizomea.

Ndugu yangu nahisi Tukuyu na kiwira unaisoma magazetini. Nani asiye jua kuwa
Chanzo kilikuwa mauaji ya Albino wa Iroro na ndio iliyo sababisha mauaji ya mwankenja baada ya kuto kumlipa muuaji aliye kili na kueleza mahakamini ukweli huo .kama kweli CCM inakubalika kiwira mbona hawajapata mgombea mpaka saizi.? Pili mbona uchaguzi wa mwenyekiti umefnyika kabla ya chaguzi zote mbili . Any way rudi shule ili uweze kupambanua hoja.

me mmojawao, roho inaniuma sio siri,i hate ccm
WanaKyela umetuonea, tunajitambua vya kutosha. Muulize Mwakyembe atakupa jibu, magamba wanaelekea mwisho wao huku.pumguzeni jazba, basi tusifike mahali pa kuanza kutoa lugha za matusi humu, kama mtu huna la kuandika ni bora usome tuu ndipo utajifunza jinsi ya kujibu hoja. watu wa kyela na tukuyu wanahitaji elimu ili wajitambue.

....Hovyoooooooooooooooooo!!
Ndugu yangu mbona una tema cheche sambamba na wauaji wa John Mwankenja. Hicho unachpongelea ndio alochoongea muuaji Mwakalinga kule mahakamani,kitu ambacho kila mwana Rungwe anajua kuwa ni tapatapa za kujiokoa na kitanzi. Utakuja hukumiwa kwa ushahidi wa uongo Lakini wacha Mungu aitwe Mungu, ushuda wenu wa uongo utapatilizwa kwa adhabu kwa hukumu hata vozazi vyenuNdugu yangu nahisi Tukuyu na kiwira unaisoma magazetini. Nani asiye jua kuwa Chanzo kilikuwa mauaji ya Albino wa Iroro na ndio iliyo sababisha mauaji ya mwankenja baada ya kuto kumlipa muuaji aliye kili na kueleza mahakamini ukweli huo .kama kweli CCM inakubalika kiwira mbona hawajapata mgombea mpaka saizi.? Pili mbona uchaguzi wa mwenyekiti umefnyika kabla ya chaguzi zote mbili . Any way rudi shule ili uweze kupambanua hoja.
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Rungwe mkoa wa Mbeya kimeshinda kwa kishindo nafasi ya mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Rungwe kwa kuwabwaga wapinzani katika uchaguzi huo mdogo.
Uchaguzi huo ulifanyika ili kuziba pengo liloachwa wazi na aliyekuwa mwenyekiti wa halmashauri hiyo aliyeuwawa mwanzoni mwa mwaka huu kwa kupigwa risasi.
Habari kutoka Rungwe zinaripoti kuwa katika uchaguzi huo wajumbe wamemchagua kwa kura 40 aliyekuwa makamu mwenyekitiwa halmashauri hiyo, Meckson Mwakipunga (pichani) huku mgombea wa NCCR Mageuzi, Anyimike Mwakasikilali akiambulia kura 3 tu.
WanaKyela umetuonea, tunajitambua vya kutosha. Muulize Mwakyembe atakupa jibu, magamba wanaelekea mwisho wao huku.
Bwana mudogo una kila dalili ya mtu anayefikiri kwa makalio.Ndugu yangu nahisi Tukuyu na kiwira unaisoma magazetini. Nani asiye jua kuwa Chanzo kilikuwa mauaji ya Albino wa Iroro na ndio iliyo sababisha mauaji ya mwankenja baada ya kuto kumlipa muuaji aliye kili na kueleza mahakamini ukweli huo .kama kweli CCM inakubalika kiwira mbona hawajapata mgombea mpaka saizi.? Pili mbona uchaguzi wa mwenyekiti umefnyika kabla ya chaguzi zote mbili . Any way rudi shule ili uweze kupambanua hoja.