Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,181
- 1,494
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]wako bize wanachagua rangi za noa
Mh....kumbe yanga ndo mzazi wa CCM?Simba au Yanga.....Nothing more..!!
Vilabu masikini wa Mpira na Fikra...!!
Yanga iliyoizaa CCM leo hii ni Timu ya kudaiwa KODI YA KIWANJA/JENGO...!!?
DMS......
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikuwa hujui Mkuu.....!!?
Nashukuru kwa kunijuza.....nimechukua!Ulikuwa hujui Mkuu.....!!?
Waulizie wazee wajuvi (wahenga) wakupe DATA, Vikao vyote vilikuwa vikifanyika humo Mjengoni...
Jiulize ni kwa nini HATI ya JENGO iko Zanzibar kwa mama (mke) Karume..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi naona maana hawana wanachojilinganisha nacho ila wanasema wanazidi kuimalika!CCM ilishajifia kitambo.
Hawana maana.Hata mimi naona maana hawana wanachojilinganisha nacho ila wanasema wanazidi kuimalika!
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwapendi wajinga wa namna hii. Wenzao wananufaika na rasilimali za nchi wao wanaishia kupigwa picha. Akili mbaya kama sura yake. Na hiyo miwani kawa kama nzi la chooni.
Wenyewe karibuni hapa.Habari za majukumu wakuu
Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza naomba niwaze kwa SAUTI tu hapa
"Hivi utajuaje kama SIMBA NA YANGA ni nani zaidi?nadhani mpaka zicheze mechi ndo utaona KIWANGO cha wachezaji wa pande zote mbili na Morali ya Mashabiki wake pia ndo tutapata wafungaji"
Hivyo hivyo ni sawa na vyama vya Siasa naona Rais wa CCM na Timu za akina Polepole wanatembea na kufanya mikutano Nchi nzima na kusema yanayohusu CCM(sio dhambi na wala siwakatazi)
CHADEMA/UKAWA maana ndo vyama Vikuu kwasasa hakuna zaidi wamezuiliwa kufanya mikutano ya hadhara sasa CCM inajilinganisha na nini kujipima ubora wake?[emoji23]
Lakini pia CCM kama hamjajiongeza huyu jamaa haijengi bali anajijenga yeye na Katimu kake ambacho amekafanya kanamtetea kila wanapoenda na Wanatumia Vyombo vya Dola kukamilisha mambo yao!
Nanukuu JK aliwahi kusema...
"CCM IKITUMIA VYOMBO VYA DOLA KAMA NGAO TUNAKIUA CHAMA NI LAZIMA TUJENGE CHAMA CHETU KWA IMANI NA WANANCHI"
Mwisho wa kunukuu
Hayo ndo mawazo yangu karibuni kwa michango lakini povu ruksa........naomba kuwasilisha!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanajilinganisha na Odinga.
"PAMBANA NA HALI YAKO"
Haswaaaaaa maana Lissu peke yake anawayumbisha vichwa kila siku asubuhi!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Haswaaaaaa maana Lissu peke yake anawayumbisha vichwa kila siku asubuhi!
Sent using Jamii Forums mobile app