Ccm imetoa wapi hii ya mbili?

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2007
Posts
19,114
Reaction score
9,280
SOURCE: Copy and paste:

CCM IMETOA WAPI HII YA MBILI?

Shetani alimjaribu Yesu mara 3, Petro alimkana Yesu mara 3,
jogoo aliwika mara 3, Yesu alifufuka siku ya 3,
wanawake walienda kaburini siku ya 3, nao walikuwa wa3,
Mungu na nafsi 3, Baba, Mwana na Roho mtakatifu.
Kwny vita vya dunia Triple Entente ilianza na nchi 3, Triple Alliance nayo ilikua na nchi 3,
bajaj ina tairi 3, kabla ya kuiongoza Ujerumani Hittler alijaribu mapinduzi mara 3,
Tanzania ndiyo nchi pekee yenye makamu wa Rais wa3 (Zbar wawili, bara 1), Obama alipokuja Africa alitembelea nchi 3.


Ukitaka chakula kiive weka mafiga ma3, huwa tunahesabu mara 3,
juzi taifa stars imefungwa 3 na Burundi, Chelsea imefungwa 3 na Athletico,
watanzania wanataka serikali 3", ukinunua condom unakuta pc 3,
tukihesabu siku za wiki tunaanzia juma3, Jumuiya ya Africa Mashariki ilianza na nchi 3,
viongozi wa juu serikalini ni wa3, Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu,
ukiugua unameza dawa kutwa mara 3, samaki ana vipande 3..

sasa CCM hii 2 wameitoa wapi....?

https://soundcloud.com/makanta/tatu-special-1
 
Wakereketwa wa ukawa kama kawaida yao,
 

Mkuu hii kitu nimebandika jukwaa la photo toka juzi umecopy tu kwa kuandika hahaha!poa lakini nia tufikishe ujumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…