Nakuwa tofauti kabisa na wanaosema CCM imekufa. Lugha hii imekuwa ikisikika sana tena kwa miaka kadhaa sasa. Mimi nitakachoweza kuamini ni kuwa CCM ni imara sana na ndiyo maana wapinzani wake wanatumia muda mwingi sana kukipaka matope, kuwalaghai wananchi na mambo mengine mengi ilimradi tu kionekane hakifai, lakini mara zote kimekuwa imara. Kama CCM kikngekuwa siyo imara kulikuwa hakuna haja ya kuhangaika huku na kule kukipaka matope na badala yake vyma hivi vya upinzani vingejikita kuwatatulia wananchi matatizo yanayowakabili. Hakika kitendo cha Vyama vya upinzani kuzunguka nchi nchi nzima kuwaeleza wananchi kuwa CCM ni mbovu ili hali wana macho na wanaweza kuona wenyewe ni dhahiri kuwa CCM kinaogopwa.CCM imejiua, inasubiri kuzikwa
Bila kutafuta maneno, mgogoro ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) umekuzwa na kupata nguvu baada ya Jakaya Kikwete, kukubaliana na matakwa ya wachache ya kuvunja Kamati Kuu (CC) na sekretarieti yake iliyokuwa inaongozwa na Katibu mkuu wake, Yussuf Makamba. Hapo ndipo mpini ulipoanza kuungua.
Ni tukio hilo lililoingiza sektarieti na kamati kuu iliyochoka. Ikaibuka na utafiti dhaifu uliozaa falsafa ya kujivua gamba. Hii ndiyo dhambi ambayo inaitafuna CCM mpaka sasa; hakuna njia nyingine mbadala ya kukiokoa chama hiki.
Na John Kibaso, kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mbunge wa zamani wa Temeke.
...................................................................................................
CCM imejiua, inasubiri kuzikwa

Nakuwa tofauti kabisa na wanaosema CCM imekufa. Lugha hii imekuwa ikisikika sana tena kwa miaka kadhaa sasa. Mimi nitakachoweza kuamini ni kuwa CCM ni imara sana na ndiyo maana wapinzani wake wanatumia muda mwingi sana kukipaka matope, kuwalaghai wananchi na mambo mengine mengi ilimradi tu kionekane hakifai, lakini mara zote kimekuwa imara. Kama CCM kikngekuwa siyo imara kulikuwa hakuna haja ya kuhangaika huku na kule kukipaka matope na badala yake vyma hivi vya upinzani vingejikita kuwatatulia wananchi matatizo yanayowakabili. Hakika kitendo cha Vyama vya upinzani kuzunguka nchi nchi nzima kuwaeleza wananchi kuwa CCM ni mbovu ili hali wana macho na wanaweza kuona wenyewe ni dhahiri kuwa CCM kinaogopwa.

utakuwa na mtindio wa ubongo wewe!!Nakuwa tofauti kabisa na wanaosema CCM imekufa. Lugha hii imekuwa ikisikika sana tena kwa miaka kadhaa sasa. Mimi nitakachoweza kuamini ni kuwa CCM ni imara sana na ndiyo maana wapinzani wake wanatumia muda mwingi sana kukipaka matope, kuwalaghai wananchi na mambo mengine mengi ilimradi tu kionekane hakifai, lakini mara zote kimekuwa imara. Kama CCM kikngekuwa siyo imara kulikuwa hakuna haja ya kuhangaika huku na kule kukipaka matope na badala yake vyma hivi vya upinzani vingejikita kuwatatulia wananchi matatizo yanayowakabili. Hakika kitendo cha Vyama vya upinzani kuzunguka nchi nchi nzima kuwaeleza wananchi kuwa CCM ni mbovu ili hali wana macho na wanaweza kuona wenyewe ni dhahiri kuwa CCM kinaogopwa.
Nipo Musoma katika shule moja ya sekondari Mwisenge, nikamuona kijana mmoja mwenye umri wa miaka kumi na sita (kidato cha pili) ameshikilia kitambaa cha kujifutia jasho chenye rangi ya kijani, nilichofanya ni kamuita na kumpa vimaneno kidogo, nikamwambia "inaonekana wewe unaipenda sana CCM, kwa mshangao akaniuliza kwa nini!? nikamjibu kwamba kitambaa chake kina rangi ya kijani, akashangaa tena na kuniuliza swali, HIVI RANGI YA KIJANI NI YA CCM? nikamjibu ndio ni kijani na njano, pale pale yule kijana akakitupa kile kitambaa na kuniambia kuwa katika shule yao hakuna kijana atakaekipigia CCM kura katika uchaguzi ujao kwani wengi wao watakuwa wameshafikisha umri wa kupiga kura na wanaapa kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura" sasa hii ni shule moja Tanzania je zilizobakia zikoje kwani vijana wanaonesha chuki ya wazi kwa CCM hapo utasalimika kweli? imefikia vijana wanakwenda kucheza mechi za mpila wa miguu wanabeba bendera za CHADEMA na ukiwauliza kwa nini wanafanya hivyo wanasema wao ni peopleees. Sasa utakuja kusema CCM ina usalama. TAFAKARI. CCM haitashindwa kwa ajili ya migogoro yao VIJANA ndio wataomaliza mchezo.
Nakuwa tofauti kabisa na wanaosema CCM imekufa. Lugha hii imekuwa ikisikika sana tena kwa miaka kadhaa sasa. Mimi nitakachoweza kuamini ni kuwa CCM ni imara sana na ndiyo maana wapinzani wake wanatumia muda mwingi sana kukipaka matope, kuwalaghai wananchi na mambo mengine mengi ilimradi tu kionekane hakifai, lakini mara zote kimekuwa imara. Kama CCM kikngekuwa siyo imara kulikuwa hakuna haja ya kuhangaika huku na kule kukipaka matope na badala yake vyma hivi vya upinzani vingejikita kuwatatulia wananchi matatizo yanayowakabili. Hakika kitendo cha Vyama vya upinzani kuzunguka nchi nchi nzima kuwaeleza wananchi kuwa CCM ni mbovu ili hali wana macho na wanaweza kuona wenyewe ni dhahiri kuwa CCM kinaogopwa.
Ndugu yangu CCM ni merehemu tayari ni muda tu ndio unaozuia sisi kumzika leo. Mimi napoishi tunapakana na shule ya msingi jirani,mwalimu akifundisha watoto wa darasa la sita.."Daraja refu kuliko yote linapatikana nchini china na lina urefu wa kilomita 45. yaani ni kama hapa mpaka bagamoyo, au ni kama kuweka daraja feri mpaka zanzibar. Hata sisi tuna uwezo wa kujenga madaraja marefu na mazuri sema ndio hivyo hawa mafisadi wa CCM hawafai" si maneno yangu maneno ya mwalimu je watoto hawa wakikua utawaambia nini kuhusu CCM si wanaweza wakakuchimba kidevu
Nakuwa tofauti kabisa na wanaosema CCM imekufa. Lugha hii imekuwa ikisikika sana tena kwa miaka kadhaa sasa. Mimi nitakachoweza kuamini ni kuwa CCM ni imara sana na ndiyo maana wapinzani wake wanatumia muda mwingi sana kukipaka matope, kuwalaghai wananchi na mambo mengine mengi ilimradi tu kionekane hakifai, lakini mara zote kimekuwa imara. Kama CCM kikngekuwa siyo imara kulikuwa hakuna haja ya kuhangaika huku na kule kukipaka matope na badala yake vyma hivi vya upinzani vingejikita kuwatatulia wananchi matatizo yanayowakabili. Hakika kitendo cha Vyama vya upinzani kuzunguka nchi nchi nzima kuwaeleza wananchi kuwa CCM ni mbovu ili hali wana macho na wanaweza kuona wenyewe ni dhahiri kuwa CCM kinaogopwa.
Itawachua muda mrefu sana kukubali kuwa CCM imekufa, hata mwaka 2015 hamtaamini maramoja kuona hamko madarakani! Hayo mengine ni kuwayawaya tu!! Au, hutaki?!... .....Nakuwa tofauti kabisa na wanaosema CCM imekufa. Lugha hii imekuwa ikisikika sana tena kwa miaka kadhaa sasa. Mimi nitakachoweza kuamini ni kuwa CCM ni imara sana na ndiyo maana wapinzani wake wanatumia muda mwingi sana kukipaka matope, kuwalaghai wananchi na mambo mengine mengi ilimradi tu kionekane hakifai, lakini mara zote kimekuwa imara. Kama CCM kikngekuwa siyo imara kulikuwa hakuna haja ya kuhangaika huku na kule kukipaka matope na badala yake vyma hivi vya upinzani vingejikita kuwatatulia wananchi matatizo yanayowakabili. Hakika kitendo cha Vyama vya upinzani kuzunguka nchi nchi nzima kuwaeleza wananchi kuwa CCM ni mbovu ili hali wana macho na wanaweza kuona wenyewe ni dhahiri kuwa CCM kinaogopwa.