John Manoni
JF-Expert Member
- Sep 5, 2020
- 611
- 381
Hahaha. Sasa hapo dharau iko wapiHii ni dharau kwa Wasukuma
Kuwasomba kwenye mikokoteni halafu mnawachinjia ng'ombe na kondoo misikitini ili kuwalisha .
Ila mabalozi wa nyumba tisa ya kumi ni ya mjinga mnawapa BAISKELI kuwapumbaza waende kutik mpate vinono vya kuwatawala na nyiye mnapanda VXR na V8 kila mnakopita kuwahutubia.
#NoreformsNoelection
View attachment 3379037
Na hiiPicha ya 2020 kwa JPM hii. Watu mnajua kutunza vitu. Hongera Kamanda
Na hiiPicha ya 2020 kwa JPM hii. Watu mnajua kutunza vitu. Hongera Kamanda
Picha ya 2020 kwa JPM hii. Watu mnajua kutunza vitu. Hongera Kamanda
Kauli hiyo inachochea hisia na mgawanyiko usio na msingi. Hakuna mtu anapaswa kubezwa kwa kabila lake, wala shughuli yoyote ya kijamii isiwe sababu ya kugawa watu. Suala la viongozi kutoa misaada au kuhamasisha maendeleo halipaswi kugeuzwa kuwa dhihaka ya makabila fulani. Badala ya kueneza chuki, tuhamasishe heshima, usawa na hoja za msingi kuhusu maendeleo na uwajibikaji. Tuheshimu kila jamii – Wasukuma ni watu wa heshima, bidii na uzalendo mkubwa.Wasukuma zamani wakiongozwa na Paul Bomani kwa Victoria Federation walitaka kumiliki chuo kikuu cha kwanza nchini.
Lakini sasa janaume lisukuma linasimulia mke wake eti tumekula nyama mno kule CCM Kirumba.
Na wagogo hawamtanii tena Msukuma .Kauli hiyo inachochea hisia na mgawanyiko usio na msingi. Hakuna mtu anapaswa kubezwa kwa kabila lake, wala shughuli yoyote ya kijamii isiwe sababu ya kugawa watu. Suala la viongozi kutoa misaada au kuhamasisha maendeleo halipaswi kugeuzwa kuwa dhihaka ya makabila fulani. Badala ya kueneza chuki, tuhamasishe heshima, usawa na hoja za msingi kuhusu maendeleo na uwajibikaji. Tuheshimu kila jamii – Wasukuma ni watu wa heshima, bidii na uzalendo mkubwa.
Hayo maneno ni ya kibaguzi na yanachochea chuki za kikabila, jambo ambalo ni hatari sana kwa mshikamano wa kitaifa. Tanzania imejengwa juu ya misingi ya umoja, mshikamano na heshima kati ya makabila yote, bila mtu yeyote kujiona bora au wa chini kuliko mwingine.Na wagogo hawamtanii tena Msukuma .
Makabila ya Pwani kaendeleeni kuwasomba kwenye mikokoteni na kuwapa nyama watani.
Basi ni mjadala hata kuwepo utani wa makabila.Hayo maneno ni ya kibaguzi na yanachochea chuki za kikabila, jambo ambalo ni hatari sana kwa mshikamano wa kitaifa. Tanzania imejengwa juu ya misingi ya umoja, mshikamano na heshima kati ya makabila yote, bila mtu yeyote kujiona bora au wa chini kuliko mwingine.
Kubeza Msukuma au Wagogo, au kutukana makabila ya Pwani, si hoja bali ni udhaifu wa kimaadili na kifikra. Badala ya kutumia lugha ya dharau na kejeli, tunapaswa kujenga mazungumzo ya heshima yanayolenga maendeleo na umoja wa taifa letu. Mchango wa kila kabila katika kujenga Tanzania haupingiki, na hakuna nafasi kwa ubaguzi wa namna hii katika jamii ya kisasa. Tupinge kwa nguvu zote aina yoyote ya ukabila..
Huu ni mjadala mwingine, lakini ni ubaya usiovumilika watu wenye maVXR na V8 kwenda kuwahutubia Wasukuma waliosombwa kwa malori na mikokoteni na mabasi huko, halafu wanaume wa kisukuma wanarudi nyumbani wanasimulia wake zao na watoto eti tumekula nyama mno kule CCM Kirumba!Hayo maneno ni ya kibaguzi na yanachochea chuki za kikabila, jambo ambalo ni hatari sana kwa mshikamano wa kitaifa. Tanzania imejengwa juu ya misingi ya umoja, mshikamano na heshima kati ya makabila yote, bila mtu yeyote kujiona bora au wa chini kuliko mwingine.
Kubeza Msukuma au Wagogo, au kutukana makabila ya Pwani, si hoja bali ni udhaifu wa kimaadili na kifikra. Badala ya kutumia lugha ya dharau na kejeli, tunapaswa kujenga mazungumzo ya heshima yanayolenga maendeleo na umoja wa taifa letu. Mchango wa kila kabila katika kujenga Tanzania haupingiki, na hakuna nafasi kwa ubaguzi wa namna hii katika jamii ya kisasa. Tupinge kwa nguvu zote aina yoyote ya ukabila..