I have noticed today kuna baadhi ya mabango yamebandikwa zikiwa na picha za Kikwete akiwa na watoto, nyingine Hospitali, wameandika kuwa "Watoto pia wanahitaji kusikilizwa blah blah blah" halafu chini zimeandikwa kuwa "Imeletwa kwenu na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii"
Naomba kujua kwamba serikali inampigia Kikwete Kampaign?/ Na kama ni ndio, kwa fedha za nani??..:confused2::confused2: