Hali halisi inavyoonekana mpaka sasa ni kwamba hawatakubali kiurahisi,na wako tayari kuiingiza nchi vitani kwa uroho wao wa madaraka.cha msingi ni watanzania wote tushikamane kupambana nao kwa njia zote hata kwa damu za maelfu ya watu kwani ccm kama ccm sasa hivi wako wachache wanachotegemea ni nguvu za dola.