mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,775
- 2,198
Bro kwani na ww ni CCM???Hivi karibuni Cyprian Musiba amekuwa akitoa matamko mitandaoni akijinasibu kana kwamba anaongea kwa niaba ya CCM/Serikali. Ushauri wangu wa bure ni kwamba kama ni kweli basi CCM na serikali vinajidhalilisha kumtumia Musiba kwa namna navyotoa matamko yake. Ni bora wamkane na kumwonya asijihusishe na CCM wala serikali. Kama anataka kutoa matamko yake ayatoe kwa niaba yake na si kwa niaba ya CCM. Humphrey Pole Pole kazi kwako
Angekuwa Kenya sasa hivi tungekuwa tumeshamaliza kuanua matanga!! Kenya hawapendagi ujinga!!Huyu mtu ndiye hatari zaidi katika Taifa hili
Anatoa tuhuma nzito bila kuwa na ushahidi
Angethubutu kufanya hivyo kiongozi yeyote wa upinzani, hususani toka chama cha Chadema, hivi sasa angekuwa anaozea jela