franklin12xx
Member
- Sep 24, 2014
- 28
- 31
Hv wee jamaa umepitia tena baada ya kumaliza ulichokiandika?kuna jambo nimeliona kwenye magazeti ya leo kuwa ccm itakuwa inapita kila mahali ukawa walikopita kuelezea namna serikali inavyokandamiza democrasia bungeni pamoja na kuingilia huo mhimili wa bunge.
hili jambo limenishangaza sana, kama wanaweza kujibizana na ukawa nje ya bunge tatizo liko wapi kujibu hoja zao bungeni kukiwa na bunge live. serikali hii hii iliyokuwa inasema haina hela kurusha matangazo live kwa hakika mikutano hiyo itahusisha rasilimali nyingi za serikali kama mavx ya wakuu wa mikoa na wilaya husika pamoja na wakurugenzi katika maeneo husika.
bungeni ndiko mahali ambako debate hasa za siasa zipo, watu wanaleta hoja then upande nwingine unajibu, ila wenzetu wa ccm baada ya kujua wana wabunge wengi vilaza wasiyo weza jenga hoja zinazokubalika kwa wananchi wameona njia pekee ni kuwafukuza wataalamu wa kujenga hoja hizo huku ikidhani imesuluhisha, sasa baada ya upinzani kuona njia pekee ni kuwashtaki kwa wananchi nchi nzima nao wameona ni vyema kucopy hiyo strategy alafu wakishindwa kukubalika watakasirika na kuanza kuwatumia kina bulembo kutukana wanasiasa wa upinzani huku as usual msajili wa vyama vya siasa akiwaangalia tu.
Kiuhalisia tu hivi wewe kama Mtanzania unaejitambua, je unapendezwa na hii hali ya mbunge kuja Bungeni tu na kusaini posho ya bure kisha kuondoka kisa Naibu spika kama wameamua kuzila wazile vyote ili tuone kweli ni watetea maslai ya wananchi maana sijawai kuona positive impact ya upinzani kwa kile wanachokisusia Bungeni, hata kama katiba ndio imeruhusu huo mwanya wa watu kujichukulia pesa za bure wasijifiche kwenye kichaka cha Katiba kulinda maslai yaoBinafsi nafuatilia kinachoendelea na kuona kama vile nchi hii ina aina fulani ya laana.
Sikuwa wahi kuwaza kabisa kuwa mtu mahili kama Dr. Mwakembe naye angeliingia kwenye mtego wa 'kuwatishia' wapinzania kwamba wasipoingia bungeni hawatapata posho! Ni mambo ya kuangalia kwa umakini na kusikitika.
Binafsi nafuatilia kinachoendelea na kuona kama vile nchi hii ina aina fulani ya laana.
Sikuwa wahi kuwaza kabisa kuwa mtu mahili kama Dr. Mwakembe naye angeliingia kwenye mtego wa 'kuwatishia' wapinzania kwamba wasipoingia bungeni hawatapata posho! Ni mambo ya kuangalia kwa umakini na kusikitika.
Kiuhalisia tu hivi wewe kama Mtanzania unaejitambua, je unapendezwa na hii hali ya mbunge kuja Bungeni tu na kusaini posho ya bure kisha kuondoka kisa Naibu spika kama wameamua kuzila wazile vyote ili tuone kweli ni watetea maslai ya wananchi maana sijawai kuona positive impact ya upinzani kwa kile wanachokisusia Bungeni, hata kama katiba ndio imeruhusu huo mwanya wa watu kujichukulia pesa za bure wasijifiche kwenye kichaka cha Katiba kulinda maslai yao
Angalia ulipojikwaa na si ulipoangukia, tafuta chanzo cha mgogoro wa ukawa na naibu spikaKiuhalisia tu hivi wewe kama Mtanzania unaejitambua, je unapendezwa na hii hali ya mbunge kuja Bungeni tu na kusaini posho ya bure kisha kuondoka kisa Naibu spika kama wameamua kuzila wazile vyote ili tuone kweli ni watetea maslai ya wananchi maana sijawai kuona positive impact ya upinzani kwa kile wanachokisusia Bungeni, hata kama katiba ndio imeruhusu huo mwanya wa watu kujichukulia pesa za bure wasijifiche kwenye kichaka cha Katiba kulinda maslai yao
Kwani wewe unaona ni sahihi Tulia kukandamiza demokrasia? Ki ukweli unatetea uovu.Kiuhalisia tu hivi wewe kama Mtanzania unaejitambua, je unapendezwa na hii hali ya mbunge kuja Bungeni tu na kusaini posho ya bure kisha kuondoka kisa Naibu spika kama wameamua kuzila wazile vyote ili tuone kweli ni watetea maslai ya wananchi maana sijawai kuona positive impact ya upinzani kwa kile wanachokisusia Bungeni, hata kama katiba ndio imeruhusu huo mwanya wa watu kujichukulia pesa za bure wasijifiche kwenye kichaka cha Katiba kulinda maslai yao
(Chora picha kichwani mwako) ...kwa watumwa wanashikiliwa kwa muda mrefu na kufanyishwa kazi hata wasizozitaka huku wakiambulia vijisenti vya kuweza kupata mlo mmoja na nusu au miwili na pesa ya kupanga chumba, pale walipojitokeza makumi kati ya maelfu kudai haki zaidi ni wazi kuna watumwa wenzao waliowashangaa na hata kuwalaani!Kiuhalisia tu hivi wewe kama Mtanzania unaejitambua, je unapendezwa na hii hali ya mbunge kuja Bungeni tu na kusaini posho ya bure kisha kuondoka kisa Naibu spika kama wameamua kuzila wazile vyote ili tuone kweli ni watetea maslai ya wananchi maana sijawai kuona positive impact ya upinzani kwa kile wanachokisusia Bungeni, hata kama katiba ndio imeruhusu huo mwanya wa watu kujichukulia pesa za bure wasijifiche kwenye kichaka cha Katiba kulinda maslai yao
Kilichowafanya kufanya hivo kwako si cha maana ???Kiuhalisia tu hivi wewe kama Mtanzania unaejitambua, je unapendezwa na hii hali ya mbunge kuja Bungeni tu na kusaini posho ya bure kisha kuondoka kisa Naibu spika kama wameamua kuzila wazile vyote ili tuone kweli ni watetea maslai ya wananchi maana sijawai kuona positive impact ya upinzani kwa kile wanachokisusia Bungeni, hata kama katiba ndio imeruhusu huo mwanya wa watu kujichukulia pesa za bure wasijifiche kwenye kichaka cha Katiba kulinda maslai yao
HATUJAWAI ona positive impact ya kususa kwao Bungeni thus why hakuna cha maana wanachofanya hapo zaidi ya kutuhadaa sisi wananchi ili hali wanaamka asubuhi wanasain posho ambazo ni kodi zetu....The have to be creative si kila kitu kususaKilichowafanya kufanya hivo kwako si cha maana ???
Umeiona hiyo positive impact ya waliobaki humo bungeni?HATUJAWAI ona positive impact ya kususa kwao Bungeni thus why hakuna cha maana wanachofanya hapo zaidi ya kutuhadaa sisi wananchi ili hali wanaamka asubuhi wanasain posho ambazo ni kodi zetu....The have to be creative si kila kitu kususa
Kwani tuliwatuma kususa Bungeni?Umeiona hiyo positive impact ya waliobaki humo bungeni?
Binafsi nafuatilia kinachoendelea na kuona kama vile nchi hii ina aina fulani ya laana.
Sikuwa wahi kuwaza kabisa kuwa mtu mahili kama Dr. Mwakembe naye angeliingia kwenye mtego wa 'kuwatishia' wapinzania kwamba wasipoingia bungeni hawatapata posho! Ni mambo ya kuangalia kwa umakini na kusikitika.
Kususa ni sehemu ya wajibu wa mbunge, hata hilo hujui?Kwani tuliwatuma kususa Bungeni?
Hata mimi naona posho zao zisimame,lakini iwe kwa wote hata wale ambao huingia Bungeni na kusinzia kwa muda wote wa vikao. Yaani tangu Bunge la Bajeti hajatoa hoja hata moja zaidi ni kugonga meza na vigelegele hata kwa hoja mufilisi,hawa nao hawana faida yoyote, ni sawa tu na Mtoro!Kiuhalisia tu hivi wewe kama Mtanzania unaejitambua, je unapendezwa na hii hali ya mbunge kuja Bungeni tu na kusaini posho ya bure kisha kuondoka kisa Naibu spika kama wameamua kuzila wazile vyote ili tuone kweli ni watetea maslai ya wananchi maana sijawai kuona positive impact ya upinzani kwa kile wanachokisusia Bungeni, hata kama katiba ndio imeruhusu huo mwanya wa watu kujichukulia pesa za bure wasijifiche kwenye kichaka cha Katiba kulinda maslai yao
HATUJAWAI ona positive impact ya kususa kwao Bungeni thus why hakuna cha maana wanachofanya hapo zaidi ya kutuhadaa sisi wananchi ili hali wanaamka asubuhi wanasain posho ambazo ni kodi zetu....The have to be creative si kila kitu kususa