CCM hawakamatiki wala Hawashikiki

ni afadhali kukosa ****** ya kukalia kuliko kukosa akili,cause ukiwa na akili utatafuta namna ya kukaa.Nyambafu.
 
huyu jamaa anafunikwa na gamba nini?he is full of non sense.mabomu na risasi n kwa ajili ya vita na wala si kwa ajili ya kuzima nguvu ya umma,nguvu ya uma haaushindwi na mabomu yanayoweza kujilipuka muda wowote.
 
Pumbafu sana.

Akili ya miCCM ziko kwa M/kiti wao JK.
 
Dah mserereko wa matusi unadhihirisha maamuzi ya watz kuwanyima nchi yalivyo halali.huwezi kuwapa ikulu watu wa namna hii.hapawafai labda milembe.

Panamfaa Lucynde
 
Huyu **** asirudie kuandika umatako wakeeeeeee.. Ccm ni ****** tu.. Ni sawa na kwenda magotii kuchukua kahabaaa! Nakwaambia sasa wameshika mapumbu ya ba'mkwe........nape na wenzako mtafia dar na kuzikwa pemba

kweli tupu! Daah punguza hasira na maneno makali, ccm ni wetu tu hatuhitaji hata kutoka jasho washa jifia.viva CDM
 

Kaka thread yako ni utumbo mtupu, haina nukta, haieleweki haina uhusiano wowote na ccm kutokamatika. Wangekua hawakamatiki wangeshnda Arumeru na sehemu nyngne wangeshnda udiwani. Namshauri moderator awe anafutilia mbali utumbo wa namna hii kabla hatujasoma
 
Akili zako zinafanana na Livingstone Lusinde kwa asilimia mia.
 
Minus thinking kama si narrow thinking....what is ccm kama sio wauaji wa fikra na watu....mmeshindwa na mtaendelea kushindwa....risasi za moto kamwe hazitoshinda nguvu ya umma...
 
By Masanilo

Usengelenyuma Huu

ndo maana uliondoa Rev!

Ha ha ha.. Mkuu cikutaka kuchangia chochote katika upuuzi wa huyu Sonara bt nilipoona post ya ex Rev ilibidi nishangae kama Mkuu Masanilo ameona u-Reverend unamzuia kutoa mashambulizi sahihi kwa bongolala kama mtoa uzi huu.. Ila kwa uzi zenye akili itabidi arudishe title yake Mkuu.. Credibility yake ni kubwa.. Ha ha ha..
 
Umenena wewe cjui kwnn watu wengine wanakuwa against ccm wanaishabikia CDM chama cha wanywa viroba na kula ndumu kila kukichwa maandamano na mikutano isiyo na tija wakivaa magwanda yao kama wamepuuu!b

Kweli Mwigulu anawafanya vibaya mpaka mnachanganyikiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…