Nakipongeza chama cha mapinduzi. Hiki ndicho chama chenye dola kwa nusu karne sasa. Kina uzoefu na uongozi katika taifa hili. Kwa kweli kimefanya mambo makubwa kwa taifa hili ambayo bila shaka yanafanya taifa zima likisifu kwa ushupavu wake na uongozi uliotukuka. miongoni mwa mambo yanayoashiria kurudi madarakani 2015 ni;
Bila shaka watanzania tunajivunia hazina takatifu hii ambayo daima itaenziwa.
- kimetupa uhuru.
- kimeweka mazingira ya amani, upendo na mshikamano.
- kimejenga barabara za lami nchi nzima.
- kimejenga shule za kata nchi.
- kimezima mgomo wa madaktari kwa uhodari wa hali ya juu.
- kimejenga vyuo nchi nzima.
- kimejenga mazingira ya ajira na kujiajiri nchi nzima.
- kimekuza uchumi wa taifa zaidi ya % 7.
- kimetoa viongozi imara na mashuhuri duniani.
- kinasomesha wanafunzi vyuo vikuu.
.

Ni kweli mkuu sifa nyingine si chama cha kikabila au dini fulani ni chama cha wtanznia wote yoyote mwenye sifa kwa ngazi fulani ya uongozi anapewa nafasi yani full demokrasia CCM Oyeeee daima!
Umeona eeh!!!!!!!!mbona wewe ha ha ha na Panadol ni ID za mtu mmoja?
Ni kweli. Huyo ni mkenya.
Mh, mbona picha zenyewe kama za ke.nya, apo sio tz..
Nakipongeza chama cha mapinduzi. Hiki ndicho chama chenye dola kwa nusu karne sasa. Kina uzoefu na uongozi katika taifa hili. Kwa kweli kimefanya mambo makubwa kwa taifa hili ambayo bila shaka yanafanya taifa zima likisifu kwa ushupavu wake na uongozi uliotukuka. miongoni mwa mambo yanayoashiria kurudi madarakani 2015 ni;
Bila shaka watanzania tunajivunia hazina takatifu hii ambayo daima itaenziwa.
- kimetupa uhuru.
- kimeweka mazingira ya amani, upendo na mshikamano.
- kimejenga barabara za lami nchi nzima.
- kimejenga shule za kata nchi.
- kimezima mgomo wa madaktari kwa uhodari wa hali ya juu.
- kimejenga vyuo nchi nzima.
- kimejenga mazingira ya ajira na kujiajiri nchi nzima.
- kimekuza uchumi wa taifa zaidi ya % 7.
- kimetoa viongozi imara na mashuhuri duniani.
- kinasomesha wanafunzi vyuo vikuu.
mleta mada sio kosa lake anajifunza hakuna raia wa tz hata moja anae taka ccm hata mimi nipo kwenye system na sinampango na ccm na ndio mwisho wao safari hii hawatoweza kununua kura