CCM sasa hivi mnahitaji kiri madhambi yenu, mnahitaji waomba msamaha watanzania na kuwajibishana kwa kupelekwa magerezani watu.Kuanzia hao ktk operation,issue za mtwara, issue za buzwagi, mauaji ya mchungaji Shinyanga hadi mabomu ya arusha na Acids, pamoja na makanisa kuunguzwa.
Haya matamasha ,mikutano ya maridhiano ya kulazimisha watu kihuni hayatasafisha roho zetu,zaidi zaidi yataongeza chuki nyingine.
Kwanini haya maridhiano mnayoyataka mnaygeuza tena kuwa operationa haramu km zile mnazonyoosheana vidole?
CCM hii issue ya mawaziri si kwamba hwajulikani watu waliodhuru wengine,na hata wanakijiji waliodhurika wakiletewa watuw aliofanya operation kanda yao watasema wahusika.Kwa nini serikali haina hata lengo la kufikisha watu mahakamani.
CCM memeamaliza shari zenu,sasa mtuache watanzania tuanze shari zetu ktk kura, na baadae tuwafikishe ktk sheria....
-CCM mmeaua, mmetesa na kuweka ulemavu mbaya watu,CCM mmetuibia,CCM mmekurufu MIungu yetu na utu wetu,CCM mmedhalilisha imani za watu, CCM mmetubagua kwa makabila na kanda zetu, CCM mmechagua dini na kuzifanya za taifa.Hamkuishia hapo,CCM sasa mnatulazisha maridhiano wakati tunaomboleza..wakati mnalazimisha haya bado mnataka tuadhibu kwa kutupikia kesi sisi wahanga .....Kwanini msituache tuomboleze, machungu yaishe ndipo mje omba na si kulazimisha maridhiano...?
Mungu Ibariki Tanzania.