CCM, dunia imebadilika! Reconciliation inaweza isije upande wenu baada ya uhuru mpya

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,280
2,000
Leo tunashuhudia Mandelea akizikwa na legacy yaka inabaki ktk hili kusamehe maadui zake na kuongoza taifa kuelekea maridhiano.

CCM wanaon ahaya yote ila wanaongeza juhudi za kufanya unandamizaji.Sijui km wanadhani watapa kuponea ktk maridhiano au ?

Niwakumbushe tuu kuwa dunia imebadilika sana na maridhiano watapata huku wakiwajibishwa magerezani.
 
Pagija

JF-Expert Member
Dec 6, 2013
380
0

Mkuu umeshaanza kutekeleza sera kunywa gongo masaa 24, manake ''raisi slaa'' kawaahidi hivyo baada ya kuona mnakunywa sana viroba......uwe unakula sana manake umepoteza kumbukumbu mnatumika kweli, nasikia eti uuzwaji wa gongo utaongeza ajira kwa vijana na pato la taifa!!!
 
unaongelea gondgo au hii thread?Hayo mengine ni personal ..gongo km ni kuinywa naweza ipata bila kumsubiri slaa.Na kma ni mbaya mbona ndiyo inayolipa askari na migambo wa CCM ujira kila kukicha..?Wao ndio hupita huko kuokota ch akusumia siku,kwanini ktk vita ya kagera gongo na bangi zilipelekwa?Yote haya yasipokuwa wazi km suala la ukimwi hela haramu zitakuwa nyingi na afya zitaharibika.
 
notradamme

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
2,012
1,195
chaga bwoy!!!! naona kama kawaida gongo ya padri muasi imeshakuchanganya.after all, wachaga mmeshaona malengo yenu hayafikiwi na hivyo mnachanganyikiwa.
no one needs reconciliation with you chagaz... mlitusaliti wakati wa kupigania uhuru na tukawapuuza sembuse sasa!!!!!! we will definitely ignore you guyz.
keep dreaming kama uko mgombani unakunywa mbege
 
Aha.....wachaga ndio walimwambia Nyerere bila kuwapa shule na kila kitu Uhuru hawautaki?Mtaficha sana ukweli lakini mwisho wa siku kila kitu kitakuwa wazi..hata Nyerere si mnasema aliwasaliti..wazenj nao hawamtaki Baba wa taifa OKELLO.
 
Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,280
2,000
CCM sasa hivi mnahitaji kiri madhambi yenu, mnahitaji waomba msamaha watanzania na kuwajibishana kwa kupelekwa magerezani watu.Kuanzia hao ktk operation,issue za mtwara, issue za buzwagi, mauaji ya mchungaji Shinyanga hadi mabomu ya arusha na Acids, pamoja na makanisa kuunguzwa.

Haya matamasha ,mikutano ya maridhiano ya kulazimisha watu kihuni hayatasafisha roho zetu,zaidi zaidi yataongeza chuki nyingine.

Kwanini haya maridhiano mnayoyataka mnaygeuza tena kuwa operationa haramu km zile mnazonyoosheana vidole?

CCM hii issue ya mawaziri si kwamba hwajulikani watu waliodhuru wengine,na hata wanakijiji waliodhurika wakiletewa watuw aliofanya operation kanda yao watasema wahusika.Kwa nini serikali haina hata lengo la kufikisha watu mahakamani.

CCM memeamaliza shari zenu,sasa mtuache watanzania tuanze shari zetu ktk kura, na baadae tuwafikishe ktk sheria....
-CCM mmeaua, mmetesa na kuweka ulemavu mbaya watu,CCM mmetuibia,CCM mmekurufu MIungu yetu na utu wetu,CCM mmedhalilisha imani za watu, CCM mmetubagua kwa makabila na kanda zetu, CCM mmechagua dini na kuzifanya za taifa.Hamkuishia hapo,CCM sasa mnatulazisha maridhiano wakati tunaomboleza..wakati mnalazimisha haya bado mnataka tuadhibu kwa kutupikia kesi sisi wahanga .....Kwanini msituache tuomboleze, machungu yaishe ndipo mje omba na si kulazimisha maridhiano...?

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,280
2,000
Kupunguza route ningependa CCM wakiri uovu huu na mwingine kwa watanzania,na wakuawajibika wawajibike, wa kuwajibishwa wawajibishwe..ndipo issue ya misamaha ianze huku wao pia wakiachana na uovu wa kutafuta wa kubambikiza huku wakiwatesa watu zaidi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom