Napenda kuwatahadharisha Chama tawala kutahadhari na hawa Mafia wa Chadema kuhusu kupotea ghafla kwa Slaa kwenye hadhara muhimu za matukio ya Chadema. Huu ni mpango mahsus umepangwa kati ya Slaa na Chadema.kuna kamtego hapo mkiingia kichwakichwa mtaumbuka. Huyu mzee ni mzushi na muongo, msihangaike naye,mnadini Magufuli mbele kwa mbele

Huyo anaangaika ccm ni chama kinachoendeshwa kwa umakini na utaratibu wa hali ya juu we unafikiri haje nani wa chadema mwenye ushawishi katika chama ahame aje ccm hata ubaloz wa nyumba kumi hapewi huku ccm ni chama chenye misingi na kanuni zinazoeleweka hakikurupuki mkuu