GME Member Joined Jan 24, 2011 Posts 19 Reaction score 6 Mar 29, 2012 #1 CCM juzi katika kampeni mh. wao kampeni meneja luhanjo kaporomosha matusi kama maji,sasa jamani kampeni ni matusi kwa chadema au ni kunadi sera sijui katiba inasemaje hapa.
CCM juzi katika kampeni mh. wao kampeni meneja luhanjo kaporomosha matusi kama maji,sasa jamani kampeni ni matusi kwa chadema au ni kunadi sera sijui katiba inasemaje hapa.
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,384 Reaction score 99,198 Mar 29, 2012 #2 Katiba si ya ki ccm na msajiri wa vyama nae sisiemu!