Ccm mbele kwa mbele wataisoma namba.Mwaka wa chadema kupotaena umefika kwani wamesimamisha mwizi kupeperusha bendera yao pamoja na kuwa walijijengea hekima kubwa sana ya kupiga vita ufisadi sasa hivi huo ujasiri hawana tena kwani jemedari mwenyewe ndo mhusika katika hili
twende na Magufuli kwa maslahi mapana yaa taifa letu
TUKUMBUKE KUWA NI MIEZI TISA TOKEA TUTOKE KWENYE UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA,UCHAGUZI AMBAO NI MHIMU KATIKA KUONYESHA TREND YA UCHAGUZI MKUU UTAKUWAJE,KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA CCM ILISHINDA KWA 75% AMBAPO TAFASIRI YAKE NI KUWA WANANCHI WANA IMANI NA CCM.
PILI UWEZO WA MGOMBEA WA CCM NDG MAGUFULI AMBAYE NI MWADILIFU NI SABABU NYINGINE YA USHINDI WA CCM.
TATU,NI UKARIBU WA CCM NA WANANCHI,CVM IMEJIKITA KUTOKA KWENYE NYUMBA KUMI MPAKA NGAZI YA TAIFA IKIWA NA WANACHAMA KILA NYUMBA NCHINI NA NJE YA NCHI.
NNE,NI SERA NZURI YA CCM NA MISINGI MATHUBUTI YA CCM AMBAYO INAONYESHA CHAMA KUWA CHA WANANCHI,CORE IDEALS OF PART.
TANO NI KUASISI SERA MPYA YA KUKEMEA UFISADI NA WIZI AMBAYO NI KERO KUBWA YA WANANCHI AMBAYO INASABABISHA KUKOSA HUDUMA MHIMU ZA KILA SIKU.
SITA NI ILANI NZURI INAYOTEKELEZEKA KWA URAHISI NA USIMAMIZI MZURI WA UTEKELEZAJI WAKE
NINA IMANI KWA SABABU HIZO CCM NA MAGUFULI USHINDI NI SAA MOJA ASUBUHI
MAGUFULIKA NA MAGUFULI
‪#‎MsemaKweli‬
‪#‎HapaKaziTu‬
kweli nyie chama dume ndo maana mgombea wenu alikuwa anafanya maoezi ya pushup hana hata aibu kuwa anamdhalilisha mkewe. Na hiyo ni kawaida yenu hata huyu anayetoka si ndio ilikuwa kawaida yaektukumbuke kuwa ni miezi tisa tokea tutoke kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa,uchaguzi ambao ni mhimu katika kuonyesha trend ya uchaguzi mkuu utakuwaje,katika uchaguzi wa serikali za mitaa ccm ilishinda kwa 75% ambapo tafasiri yake ni kuwa wananchi wana imani na ccm.
Pili uwezo wa mgombea wa ccm ndg magufuli ambaye ni mwadilifu ni sababu nyingine ya ushindi wa ccm.
Tatu,ni ukaribu wa ccm na wananchi,cvm imejikita kutoka kwenye nyumba kumi mpaka ngazi ya taifa ikiwa na wanachama kila nyumba nchini na nje ya nchi.
Nne,ni sera nzuri ya ccm na misingi mathubuti ya ccm ambayo inaonyesha chama kuwa cha wananchi,core ideals of part.
Tano ni kuasisi sera mpya ya kukemea ufisadi na wizi ambayo ni kero kubwa ya wananchi ambayo inasababisha kukosa huduma mhimu za kila siku.
Sita ni ilani nzuri inayotekelezeka kwa urahisi na usimamizi mzuri wa utekelezaji wake
nina imani kwa sababu hizo ccm na magufuli ushindi ni saa moja asubuhi
magufulika na magufuli
‪#‎msemakweli‬
‪#‎hapakazitu‬