NAPE kaua CCM....
Mwenyekiti angemtoa mapema sana huyu...
Na ana LUGHA NYINGI ZA DHARAU NA MATUSI YA REJA REJA...!!! eg OIL CHAFU, KUWATISHIA wazee eg KINGUNGE, kumtukana Lowassa...etc
Nape ni muongo hatujapata kuona...!!! eg ya kuhusu Laptops za Magufuli eti hakusema kitu kama hicho...etc...!!!
Nape kakiua CCM sana sanaaa...
UKAWA wamshukuru kwa hilo, sbb NAPE KAISAIDIA PIA UKAWA KUWA NA WAPENZI WENGI... kwa maneno na matusi yake kwa wananchi na hata watu wazito ndani ya CCM...!!
Leo Mamilioni wanahama CCM, sbb maneno ya Nape yanaharibu mnoo....!!!