CCM, chama cha upinzani ni CHADEMA tu?

PERAMIHO YETU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
6,288
Reaction score
17,338
Huwa nashangaa humu jamvini na hata huku mitaani wafuasi wa CCM wakisema CHADEMA chalii mama kwa sasa anaupiga mwingi

Swal langu kwa wana ccm hivi kwenu chama cha upinzani n CHADEMA pekee au nn maana ya tafsir ya vyama vya upinzani

Kuna vyama vingi tu Kama ACT-WAZALENDO CUF CHAUMA UDP UPDP JAHAZ ASILIA CHAUSTA Lakn sisikii kwenu mkosema labda CHAUMA chali

Mwisho tambueni siasa sio uadui vyama vya upinzani ndio nguzo kuu ya maendeleo kwan hukosoa pale chama tawala kinapokengeuka

CM 1774858 johnthebaptist
 
Vyama vyote vipo kwapani mwa CCM,ndiyo maana CCM wanajua kuwa mpinzani ni chadema tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…