MP (special Seat CCM) ester Bulaya, demanded a union reform of 3 goverment against the guidline of her party. Jee Nape mbona hajakurupuka kama alivyofanya kwa wengine kumkemea?
Tafauti yake na wengine waliotaka mkataba ni ipi kiasi kwamba iwe dhambi kwao lakini iwe ni freedom ya expression kwake? Kina Nahodha et al mbona hatukuwasikia nao kukemea?