Cmm Arusha imegawa sh. Milion 42 kila kata itakayogombewa udiwani,hizi kazi yake kulaanisha wapiga kura,chanzo mimi mwenyewe niko kwenye kamati ya kampeni ya watu 10 upande wa ccm.
Changamkieni hizo fedha na fanyeni kinacho? Kinachotakiwa kweli! Lah! Hakiamungu kweli yesu na maria sijui nirudi Arusha kwa muda aisee! Ndg yangu mushi nisipofanikiwa kuja msifanye mzaha aisee kumbukeni kura ni siri hamna noma yoyo! Yoyote kweli
Kuleni mshiko, Kama kawa si unajua makamanda mwendo wa kujitolea?. Tangu lini kura zinanunuliwa, hilo ni jasho la watanzania maskini. Kuleni Tick sehemu inayokusaidia kukuinua kimipango na sio mlo mmoja na kukuacha maskini. Tena wasisitize walambaji kuwa wakilamba hizo na wakitoa kwa Jembe na Nyundo wasilalamike watumie jembe na nyundo na wabaki na umasikini wasubiri tena awamu nyingine huku wakijiandaa kuvunwa ili deni la watu lirudishwe?
Hii naikubali? wananchi wamedhoofishwa kimawazo,
Leo mwanagawiwa fulana na kanga wanasahau, ikifika kesho hawana hata pesa ya kununulia kipande cha sabuni cha kufulia hizo fulana na kanga, wanaanza kulaumu oooh hivi oooh vile? Wananchi lazima sasa waamke na kung'amua mbinu chafu za kifisadi.Elimu kwa wananchi hasa vijijini inahitajika sana. CDM punguzeni kuongea kwa jazba, muongee kwa pointi hasa za kuwaelimisha wananchi. Wananchi wakielewa huwa hawarudi nyuma. M4C should have a defined stragegy, milestones , Goal, Objectives and achievement measurement intruments.
Wananchi amkeni: " Furaha ya siku Moja haikupi nafuu ya Maisha yako yaliyobakia". BADILIKENI Msipokee kila mnachopewa kukidhi haja ya siku moja. Think for the Future!