Kwani kuna ubaya machokoraa kufanya kampeni za CCM?Heshima kwenu wanajamvi.
Kuelekea uchaguzi mkuu hali ya siasa upande wa CCM Jiji la Arusha ni mbaya.Wameshindwa kufanya kampeni za maana,mikutano yao haina watu pamoja na kusomba watu kutoka kata nyingine lakini mikutano yao imezidi kupwaya kuliko kawaida.
Kampeni za mgimbea Ubunge Bwana Monaban ndio zimekwama kabisa,upande wa Udiwani sijui kama watapata diwani hata mmoja ndani ya Jiji la Arusha.Kata pekee waliyokuwa wakiitegemea n kata ya Kati ambayo sasa imeanza kugeuka mgmbea udiwani kata ya Kati Bwana Tojo kashindwa kuzindua kampeni zake anamsubiri Magufuli labda atamsaidia.
Machokora wanaolala uwanja wa Sheikh Amri Abeid ndio wamepewa kazi ya kuendesha kampeni za CCM Jijini Arusha.Wa,epewa fulana pamoja na matarumbeta ya plastic maarufu Vuvuzela wanapita kila mtaa wakipuliza mavuvuzele ambayo yanawakera watu kwakuwa yana sauti kubwa ukuichanganya na sauti za majenereta hasira zinazidi kuwaka kwa wakaazi wa Jiji la Arusha.
Kweli CCM imeishiwa hadi inawatumia machokora wasiokuwa na vitambulisho vya wapiga kura,wasiokuwa na makaazi maalumu,wasiokuwa na ajira,wasiokuwa na elimu ya kuchanganua mambo.Hii ndio CCM imechokwa kweli kweli wananchi wanataka mabadiliko CCM imeshindwa kubadilika mabadiliko yapo nje ya CCM.UKAWA ndio habari ya mjini.
Nawasilisha.
Uongo uongooo! Nijuavyo aliyeshindwa kuendelea na Kampeni ni lema. Kuhusu hiyo Kata ya kati huyo mnamuita simba hamnna kitu kabisa, Tojo atashinda mapemaa baada ya vituo kufunguliwa.
Kwani kuna ubaya machokoraa kufanya kampeni za CCM?
Mgombea wa CCM Monduli yupo katika tafaari nzito either abaki CCM aangamie au ajiunge na UKAWA apone.
Acha uongo mkuu niko ars kikaz yan ccm ina hali mbaya sana hapa
Heshima kwenu wanajamvi.