mgomo umetokea katika chuo cha elimu ya biashara-DSM campus.Wanafunzi wamegoma kuingia madarasan wakidai
ungozi mpya unaokidhi matakwa ya NACTE.Awali alikuwepo dr Lugoe aliyehamishiwa wizaran(Viwanda) kupisha uchunguzi.kwa sasa kuna kaimu Mr Ahmed ambaye ameshindwa kuongoza chuo.
mass failure kwa bachelor degree mwaka wa pili somo la Coperate finance.
Hata hivyo,walimu nao walikuwa na mpango wa kugoma ili kushinikiza kuondolewa kwa kaimu Mkurugenzi wa masomo Dr Kipilimba.Madai yao yalikuwa kwamba, Dr kipilimba
hajaonyesha chet cha PHD takriban miaka 2 na anaendelea kupata mshahara wa assistant Lecturer badala ya Lecturer.Aidha hata thesis title haionekani aliposoma
Anaendesha ofisi kwa majungu,ukabila,ukanda na uswahiba
katika zoooote hizo, sijaona sababu ya msingi ya kugoma. hao watoto wana lao jambo tu inawezekana hasira za kukosa boom wanazihamishia hapo kwenye mgomo