Natafuta stationary au mahali wanapotengeneza receipt book ambazo hazihitaji kutumia carbon paper yaani zile kama wanazotumia kwenye bank.Yaani zile ambazo ukiandika maandishi yanatokeza directly kwenye page ya chini.
habari mkuu. sie tunaweza kukutengenezea. fika ofisini kwetu mtaa wa amani na sikukuu. au wasiliana nasi kwenye email sales@speedyprint.co.tz au namba 0712 515209
habari mkuu. sie tunaweza kukutengenezea. fika ofisini kwetu mtaa wa amani na sikukuu. au wasiliana nasi kwenye email sales@speedyprint.co.tz au namba 0712 515209