mkuu heading ungeita cartoons & Animation movies...Okay nyingi sana nimeziangalia mpaka nimesahau.
Ila kuna moja huwa inanifurahisha Ile ya Ice Age zote nimeziangalia Huwa kananifurahishaga kale kamnyama fulani hivi huwa kenyewe kana mishe za kwake kwake na lile tunda lake(Nut)😀 kwenye hilo tunda hata mrembo apite wa namna gani hakana taimu nae!! Wazungu bhana wanajua nini maana ya entertainment..!!