Carrier unlock for ios 8.3 Now available

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,260
Reaction score
9,764
kwa wale wanatimia r sim9 au gevey kwa lugha moja znaotwa transponder, katika iphone ambazo ni carrier locked walipata tatizo la kukosa 3g na kushindwa kutuma sms pale walipo update devices zao kwenda ios 8.3 kwasababu pangu walikuwa hawajatoa software ya kujailbreak ios 8.3.
Sasa wametoa inaitwa Taig 2. Download na jailbreak baada ya kuinstall cydia add repo cyndia.china3ggp.com halafu search patch tool ya simu husika install ksha weka line pamoja na transponder restart simu.
Simu itasoma line bila tatzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…