kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,207
- 7,364
Chief pitisha hilo fagio tuone linawakaje. Nalihitaji hili kapeti aiseeHiyo sio carpet ya home kwenu...!! Carpet imekaa geto hiyo hakuna kukanyaga ovyoo na miguu michafu kama la familia ya watoto wa la pili.. Mlikuwa mnamwaga na michuzi ya samaki plus mafuta ndo maana.. Hili langu hata ukipitisha mfagio linawakaa mzee
[emoji23][emoji23][emoji23]Chief pitisha hilo fagio tuone linawakaje. Nalihitaji hili kapeti aisee
Mzee wa kimasihara akija utakimbiaChief pitisha hilo fagio tuone linawakaje. Nalihitaji hili kapeti aisee
Nalihitaji kwa 50,000 nalifuata kwa bajaji yangu ila angepitisha fagio nione kama linasafishika ingependeza sanaMzee wa kimasihara akija utakimbia
Yule anakaa kwao, kula bure, kulala bure yaani hadi nguo za sikukuu ananunuliwaMzee wa kimasihara akija utakimbia
Kwa picha linaonekana zuri bado. Home yapo mawili store uko. Siyapendi kuliko maelezo sitaki hata kujua nani kayafanyia nini.Nalihitaji kwa 50,000 nalifuata kwa bajaji yangu ila angepitisha fagio nione kama linasafishika ingependeza sana
Hee jaman yaani Hadi kapeti liliotumika mnauza? Huwezi kutafuta ata ndugu YAKO mwenyekiti kuhitaji kapeti ukampa? Mmmh hatari
Mnunulie mama yako mzee atafurahi sana amini tena...!!Unauza taka taka
Chief pitisha hilo fagio tuone linawakaje. Nalihitaji hili kapeti aisee
Mama yangu hayupo rip,Mnunulie mama yako mzee atafurahi sana amini tena...!!
Yaan ungejua nimezaliwa Dar na sijawah kuushi nje ya jiji la Dsn na sitegemeu Tena kutoka nje ya jiji la Dar kuishiWewe huwezi nunua watu wanauza mpaka makopo unashangaa Carpet...!! Karibu Dar mdogo wangu[emoji23]
Hiyo sio carpet ya home kwenu...!! Carpet imekaa geto hiyo hakuna kukanyaga ovyoo na miguu michafu kama la familia ya watoto wa la pili.. Mlikuwa mnamwaga na michuzi ya samaki plus mafuta ndo maana.. Hili langu hata ukipitisha mfagio linawaka mzee
Umesahau kuLog out mate..Pia mzee subiri bhasi ntakutumia picha uone...!! Achana na vijana wanafurahisha genge hapa[emoji5]