Jichekeshe tu maana ukweli unauma mzee baba...!!Mkuu aya log out umjibu kwa id ya mtoa mada
Nimecheka sna mkuu
Kwako unaleta habari za carpet la kwenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kakojoe ulale mzeeNow nipo kwangu, unataka kuja kupaona?
Nyie pambaneni tuJichekeshe tu maana ukweli unauma mzee baba...!!
Hiyo ilikuwa zamaniKwako unaleta habari za carpet la kwenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kakojoe ulale mzee
Nilikuwa na kuchana punguza shobo mtoto wa kiume sio kila post lazima uchangie...!! Mwenzio analeta tangazo unaan, a ushambengaaa..Acha umbea mtoto wa kiume, utaliwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijaelewaa...Nyie pambaneni tu
Ila hiyo id y juu najua ni yako so ulivyokuja na hii ya rikiboi kumkndia mwna nimecheka sana.
Kwangu kuna kapeti manyoya.Kwako unaleta habari za carpet la kwenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kakojoe ulale mzee
Now you now[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijaelewaa...
Manyoa eehe...!! Labda ya pakaa...[emoji23][emoji23][emoji23]Kwangu kuna kapeti manyoya.
Sio kama kwenu mna kapeti tangu mzee wako anapigana vita vya Majimaji mpaka leo lipo tu
Kawahi kula mzee chakuna kitaishaa...!!Now you now
[emoji23][emoji23][emoji23] acha wivu, mwambie sistaako aje kupaona uone kama atarudi kwenuManyoa eehe...!! Labda ya pakaa...[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukalale sasa kesho uwahi shule. Usisahau kunawa hiyo miguuTunajaza uzi wa watu kisa ujinga wa mtu mmoja...[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hee jaman yaani Hadi kapeti liliotumika mnauza? Huwezi kutafuta ata ndugu YAKO mwenyekiti kuhitaji kapeti ukampa? Mmmh hatariCarpet lipo tu ndani linapigwa na Vumbi...!! Vipimo ni MITA 3.5 KWA MITA 2 na bei ni 50000tsh unalipiga maji unaanza kulitumia. Yapo mawili so Karibuni sana.
Nichek PM au 0743126103 Nipo Dar.View attachment 1536069View attachment 1536070
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mjumbe jauHee jaman yaani Hadi kapeti liliotumika mnauza? Huwezi kutafuta ata ndugu YAKO mwenyekiti kuhitaji kapeti ukampa? Mmmh hatari
Hahahhaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mjumbe jau
Mbona unasema NINYIMsikitini ndo pakupeleka Huu upumbavu? Mmekosa adabu nyinyi
Jamaa atakumaindi shauri yakoHahahhaaa
Acha tumwambie ukweli aisee vitu vingine NI vya kugawa tuJamaa atakumaindi shauri yako