mgusi mukulu
JF-Expert Member
- Oct 24, 2013
- 715
- 682
Gx 3.5 inalipa???
Gx ina cc ngapi?
gx100 reg.no. ni A au B? inatatizo lolote la kufanyiwa marekebisho mkuu?Gari bado zipo...kwa anaehitaji....
gx100 reg.no. ni A au B? inatatizo lolote la kufanyiwa marekebisho mkuu?
Duh hizi GX 100 wakuu siku hizi bei imekuwa rahisi hivyo.
Carina juu,aisee
Gari zote za kuanzia 2001 kushuka chini hazina bei tena siku hizi Kama utanunua toka kwa mtu mkononi hapa tanzania (third hand onwards)
Wakikuuzia ghali ni wewe mwenyewe uamue.
Ni kweli mkuu..unavyosema...