Carina inauzwa bei chee

benbry

Senior Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
183
Reaction score
55
Caina SI silver, haijawahi kupata ajali, odo inasoma 180,000 Km, sport ream, tairi mpya na sio mchina. Bei milioni 6 tu, dalali hatakiwi.

Picha ipo hiyo moja hapo nyingine za pande zote na ndani ntatuma kesho.
Sababu ya kuiuza ni kukabiliana tu majukumu ya mwanzo wa mwaka. Gari ina vibali vyote.
 

Attachments

  • 1421084074658.jpg
    77 KB · Views: 420

tuma picha zaidi km gari ipo
 
Sehem gani, piga picha ndani yaani desh board tairi bonet na engine
 

bei juu sana kaka, gari uetebelea km karibia laki mbili!! uko wapi nikuletee 4M?
 

Gari ishauzwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…