Call 0716161683⏭️GHARAMA 15.5m
⏭️TOYOTA-RAUM
⏭️CC:1490
⏭️KM: 75km/hr
⏭️MWAKA: 2003
⏭️IMESAJILIWA: 2024
⏭️MATUMIZI: KAZINI-NYUMBANI
⏭️HALI YAKE: IMETUMIKA KAMA MPYA SIONGEI SANA UKIIWASHA TU TAYARI UNAOMBA ACCOUNT
NB: Nipo nayo chanika haina kipengele labda ujenacho wewe tajiri
Phone:0716161683
Ikikupendeza mzee nitakupa 13m.Kaka ongeza kidogo ukaribie 15 uibebe, ila kama una 12 tu ipo gari nyingine kama hiyo ila namba D ,nicheki kwa kunipigia au whatsaap nkutumie picha nayo nzuri
Ikiku
Ikikupendeza mzee nitakupa 13m.
Unapoandika: 75km/hr unamaanisha nini m
😁😁Hapo kwenye km nilitype kama kipofu ,nilitaka kamaanisha imetembea km 75k hiyo per hour nimejikuta tu nimeandika utadhani nasolve mathematics au geography ....sasa nipigie au nipe namba yako dm nikupange kitu tuelewane kuhusu priceIkiku
Ikikupendeza mzee nitakupa 13m.
Unapoandika: 75km/hr unamaanisha nini mzee?