Tunahusika na uuzaji wa magari mapya kutoka mataifa mbalimbali. Tunauza kwa bei ya mnada.Bei zetu ni nzuri na nafuu sana.zifuatazo ni baadhi ya picha za magari tuliyo nayo,kwa maelezo zaidi piga/ Whatsapp 0698235368
Mkuu uko speed sana hadi tangazo linakosa sifa ya kuwa tangazo, tulia weka details muhimu kama mwaka wa gari, saizi ya engine, petrol au deasel, manual au automatic? N.k...
Hiyo hilux hapo umeweka picha mbili tofauti ya mwaka 90 na mwaka 2017....
Tulia vuta pumzi nyingi halafu itoe taratibu, kisha anza kuandaa tangazo lako taratibu, vinginevyo unatuchanganya tu.