Eeh imenibidi nishtuke khaa marehemu uso umemvimba kama wamemuweka amira
Ila eti nasikia kafa kwa presha alikuwa anadaiwa mil 700 wakataka kuuza nyumba yake ya Mbezi ndio bwana yule presha sijui BP au kisukari atajua mwenyewe Aliko Uko , ndo chanzo cha kifo chake nasikia..ila swali je komba alikuwa MTU Wa kukosa mil 600? Mimi na wewe hatuyajui ebu ngoja niingie misitu ya mabopande nikachukue umbea zaidi