Alikuwa amekutunzia? huna kichwa wewe? RIP Capt. Komba, sote twaja huko. Mungu kakuchukua wakati adhima ya kuingia msituni ukiwa hujatimiza. Yote heri. Tangulia.
Je ni unaamini ulichokiandika au unasikia tu watu wanasemaga hivyo?. Soma vizuri vitabu karibu vya dini yote utaona ukweli. Je unajua siku ya mwisho wa dunia itakuwaje au YESU atakaporudi je kuna watu watukuwa hai na itakuwaje?
Mungu aiweke roho yake mahali inapostahili hasa kutokana na matendo yake hapa duniani , kiukweli hili ni pigo kubwa sana kwa ccm , nani atatunga nyimbo za kurubuni wananchi ?