Nimestushwa sana na taarifa ya kifo cha ghafla cha Mhe Capt John Komba Mbunge wa Nyasa. Taifa limepoteza kiongozi asiyeyumba katika yale yote aliyokuwa anayaamini! Chama kimempoteza mkereketwa wa kweli na Chiriku nambari one wa CCM. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi. Membe.
poleni sana ndugu zangu wa chiwindi, upale,ng'ombo, chimate, kwambe, mtipwili, chiulu,ndengele,chinula,kilosa, kwa msiba wa ndugu etu. BAMBO AKOMBA MUENDE PAMTENDELE ULENDO WA KUMWAMBA. AMEN.
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke, siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu.yeye huchanua kama vile ua kisha hukatwa, hukimbia kama kivuli waka hakai kamwe.AYUBU 14- 1,2...
Nimestushwa sana na taarifa ya kifo cha ghafla cha Mhe Capt John Komba Mbunge wa Nyasa. Taifa limepoteza kiongozi asiyeyumba katika yale yote aliyokuwa anayaamini! Chama kimempoteza mkereketwa wa kweli na Chiriku nambari one wa CCM. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi. Membe.
Nimecheka hadi watu wakageuka kuniangalia manake hawakujua kama nadurusu JF! Kwamba Mungu kaamua kumtolea tamko kama alivyosema kwamba wamtolee tamko Mzee Waryoba!